Ads: info@gazetini.co.tz |
24 C
Dar es Salaam

Elimu

    Maendeleo ya elimu ni mkombozi wa Taifa lolote duniani- Majaliwa

    Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maendeleo katika sekta ya elimu ni mkombozi na mafanikio ya Taifa lolote duniani. Amesema kwa kutambua hilo,...

    Ugumu wa mitihani chanzo wanafunzi kujiua India

    NEW DELHI, India TAKWIMU za wanafunzi 13,000 kujiua kila mwaka zimewaibua wataalamu wa afya ya akili nchini India, wakizitaka mamlaka kuamka na kuchukua hatua za...

    Watumishi wa Umma watakiwa kujifunza kwa bidii kuongeza ufanisi

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi, amewahimiza watumishi wa umma kujenga utamaduni wa...

    Kagera yafanya mageuzi makubwa ya maendeleo

    Na Ramadhan Hassan, Dodoma Mkoa wa Kagera umeandika historia mpya ya maendeleo kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi Aprili 2025, kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya...

    DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dar es Salaam Katibu tawala wilaya ya Kinondoni - DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea...

    Rais Samia: Mwelekeo ni elimu ya ujuzi kwa vijana kumudu soko la ajira

    Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya CCM anayoiongoza, imechukua hatua madhubuti katika kuweka mwelekeo...

    Wizara ya Elimu yazindua kituo cha huduma kwa wateja

    Na Mwandishi Wetu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imezindua Kituo cha Huduma kwa wateja, kilichograimu takribani  Sh 100 milioni kwa lengo la kuanza kupokea ushauri,maoni...

    Simbachawene aitaka TSC kuwatendea haki walimu

    Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema anatamani  kuona Tume ya Utumishi wa Walimu...

    Waziri Mchengerwa atoa rai kwa walimu

    Na John Mapepele  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza...

    Elimu bila malipo kuendelea, kuboresha mazingira ya wanafunzi 2025–2030

    Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030, kimeweka mkazo mkubwa katika kuboresha maisha ya watoto wa...

    Sima apendekeza maboresho haya wizara ya elimu

    Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma Mbunge wa Singida Mjini, Musa Sima (CCM), ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuzingatia maeneo matano muhimu ya kipaumbele...

    Bunge lapitisha Bajeti ya Trilioni 2.44 wizara ya elimu

    Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Sh Trilioni 2.44 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili...

    Recent articles