Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Elimu

    Madarasa 1,360, mabweni 17 na nyumba 33 za walimu kujengwa

    Na Ramadhan Hassan, Gazetini WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepanga kujenga madarasa 1,360 ili kuimarisha utekelezaji wa sera ya elimu ya miaka 10 ya...

    Bajeti ya Elimu 2026/27 Sh trilioni 2.39, yaweka mkazo ubora na ujuzi

    Na Ramadhan, Hassan, Gazetini SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeiomba Bunge kuidhinisha jumla ya Sh trilioni 2.39 kwa mwaka wa fedha 2026/27...

    Sehemu 10 pesa zilikojificha

    Na Benjamin Madaha KATIKA kipindi hiki cha tatizo la ajira, watu wanatafuta pesa kila kukicha -wengine usiku na mchana na wengine hujaribu kuhama eneo moja...

    Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-6

    Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale SHERIA ya Tanzania haitambui kila kifo cha mtoto tumboni kama murder. Ili kosa la murder lisimame, lazima marehemu awe ametambulika...

    Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-5

    Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale KWA mujibu wa kifungu cha 15, mtoto aliye chini ya umri wa miaka 18 hawezi kushikiliwa kikamilifu kwa adhabu zinazohusiana...

    Sababu 6 kubaki masikini ukiwa unapata pesa nyingi

    HII ndiyo 'psychology' ya pesa ambayo watu wengi hawaielewi. Wengi wanafikiri umasikini unatokana na kukosa pesa. Lakini ukweli ni kwamba mara nyingi hunasababishwa na mtazamo...

    Simulizi ya Zuhra na mapambano dhidi ya ndoa za utotoni

    Na mwandishi wetu, Zanzibar WAKATI Zuhra (Si jina lake halisi) alipokuwa na umri wa miaka 17 tu, hatima ya maisha yake ilikuwa tayari imeanza kuamuliwa...

    Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-4

    Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale IFAHAMIKE kuwa kukiri kosa hakufungi mjadala wa kisheria. Kukiri kosa ni kitendo cha mshitakiwa kukubali kuwa alihusika katika kitendo cha...

    Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-2

    Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale KIFUNGU cha 196 kinaweka msingi wa kosa la murder. Lakini kifungu cha 203 ndicho kinachoeleza kwa kina uwiano wa sababu...

    Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-1

    Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale MAUAJI yanafafanuliwa kisheria, si kwa maoni ya jamii, na kifungu husika ni cha 196. 'Murder' hutokea pale mtu anaposababisha kifo...

    Changamoto wanazopitia wanafunzi Ukanda wa Gaza

    JERUSALEM, Palestina MIAKA miwili iliyopita, Sarah Qanan alikuwa miongoni mwa wanafunzi waliokuwa wakifanya vizuri darasani. Ndoto ya kuwa daktari ilikuwa kichwani kwake na kumuongezea morali...

    Maajabu ya kitabu cha ‘Istilahi za Uhalifu na Usalama’

    Na Christopher Cyrillo FIKIRIA wewe ni mtumishi wa taasisi au mamlaka fulani ya kisiasa, na zaidi ya hapo wewe ni shushushu wa kuaminiwa na taasisi...

    Recent articles