Ads: info@gazetini.co.tz |
22.8 C
Dar es Salaam

Jamii

UN: Watu milioni 118 wamekimbia makazi yao

NEW YORK, Marekani KATIKA ripoti yake ya hivi karibuni, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limeeleza kuwa watu milioni 118 walikimbia makazi...

Mradi wa maziwa waiongezea tija Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Tanga SERIKALI imeomba kuendelezwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Ireland kupitia Awamu ya Pili ya Mradi wa Maziwa Faida kuanzia mwaka...

Shabiki afariki akiingia uwanjani Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico SHABIKI wa soka mwenye umri wa miaka 80 amefariki muda mfupi kabla ya kuingia uwanjani kuitazama Mexico ikivaana na Afrika Kusini katika...

Wanawake watajwa chachu ya mafanikio katika operesheni za kulinda amani duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini WANAWAKE wameelezwa kuwa nguzo muhimu katika kuimarisha amani, usalama na ustawi wa jamii, huku ushiriki wao katika operesheni za kulinda amani...

OWM kuimarisha ushirikiano na WFP katika usimamizi wa maafa

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Brigedia Jenerali Hosea Ndagala...

Staa wa filamu afunguka mazito aliyofanyiwa na mkewe

LAGOS, Nigeria MWIGIZAJI mkongwe wa Nigeria, Tioruju Mondusi, amefichua kuwa aliwahi kuambiwa na mkewe, kwamba kati ya watoto wao watano kwenye ndoa yao, wawili wana...

Wananchi wa Iran walia vita kupaisha bei ya vyakula

TEHRAN, Iran KUPANDA kwa gharama za maisha ni moja ya changamoto kubwa wanazopitia raia wa Iran kipindi hiki nchi yao ikiwa kwenye vita dhidi ya...

Amuua mama mkwe kwa kumpa mishikaki yenye sumu

JAKARTA, Indonesia MWANAUME mmoja nchini Indonesia ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mama mzazi wa mke wake, ikielezwa kuwa alimpa mishikaki yenye sumu. Kwa mujibu wa taarifa...

Kijiji cha Rung’abure chatekeleza miradi ya zaidi ya Sh bilioni 1.2

Na Malima Lubasha, Serengeti KIJIJI cha Rung’abure kilichopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kimetekeleza na kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya...

Wakulima waiomba Serikali kuwaingiza kwenye mafunzo ya hifadhi ya jamii

Na Seif Takaza, Singida WAKULIMA mkoani Singida wameiomba Serikali kuweka mfumo rasmi wa kuwaingiza kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ili waweze kunufaika na mafao...

Mathias Canal atwaa tuzo ya ushiriki bora wa kazi za jamii 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za WAZOHURU MEDIA na WAZOHURU APPARTMENTS, Mathias Canal, ametunukiwa Tuzo ya Ushiriki Bora wa...

Ripoti: Matukio ya unyanyasaji wa kingono yameongeka duniani

NEW YORK, Marekani NI kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa (UN), kwamba takribani visa 10,000 vya unyanyasaji wa kingono viliripotiwa katika maeneo...

Recent articles