LOS ANGELES, Marekani
HATIMAYE mama mzazi wa rapa Nicki Minaj, Carol Maraj, amefuta kesi baada ya mtu aliyemuua mumewe kukubali kulipa fidia ya Dola za...
JERUSALEM, Israel
WANAHARAKATI wa haki za binadamu duniani wanataka kuona Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ikiichunguza Israel juu ya uhalifu dhidi ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini imeitangazia ushindi familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, katika rufaa yake dhidi...
ROMA, Italia
KATIKA kipindi ambacho idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa duniani inaendelea kuongezeka kutokana na migogoro, mabadiliko ya tabianchi na changamoto za kiuchumi, Kiongozi...
LOS ANGELES, Marekani
JINA la Angelina Jolie haliwezi kuwa geni masikioni mwa wapenzi wa filamu duniani. Ni mwigizaji na prodyuza maarufu katika soko la Hollywood,...
ISLAMABAD, Pakistan
POLISI nchini Pakistan wanamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumtesa mkewe, ikiwamo kumpiga na kumfungia kwenye chumba maalum, akifanya hivyo kwa miaka 12...
ISLAMABAD, Pakistan
MWANAHARAKATI wa haki za binadamu nchini Pakistan, Mahrang Baloch, amehukumiwa kifungo cha maisha.
Baloch ameangukiwa na hukumu hiyo katika mashitaka ya ugaidi na kusababisha...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
UKIKATIZA mitaa miwili hadi mitatu, hasa katika majiji makubwa kama ilivyo kwa hapa Dar es Salaam, ni jambo lisilowezekana kukutana na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa...
WASHINGTON DC, Marekani
IDADI ya vifo vya wahamiaji wanaoshikiliwa katika magereza nchini Marekani imeongezeka mara dufu tangu Rais Donald Trump aliporejea madarakani.
Kwa mujibu wa Gazeti...
LOS ANGELES, Marekani
OKTOBA 28,1976, dunia ilikuwa ikimtazama mwanaume aitwaye Bruce Jenner akitwaa medali ya dhahabu katika michuano ya Olimipiki kwa upande wa mchezo wenye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Taasisi ya OpenMap Development Tanzania (OMDTZ) imechukua hatua mpya za kuimarisha utayari...