KABUL, Afghanistan WAHAMIAJI 37, wakiwamo watoto 17, waliokuwa wakirejeshwa kutoka Iran wamefariki baada ya gari lao kupata ajali Magharibi mwa Afghanistan.Ofisi Habari wa Taliban, Ahmadullah...
Na mwandishi wetu, GazetiniMIEZI ya hivi karibuni imeshuhudia ajali za ndege zikitisa na kuacha majonzi barani Afrika, ikitosha kutolewa mfano katika mataifa ya Ghana...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Agosti 18, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Idd...
LOS ANGELES, MarekaniUTAMADUNI wa kucheza kamari umeonekana kukita mizizi kwa vijana wengi duniani, ingawa sasa utafiti umebaini kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya tabia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwani ni zao la baharini lenye thamani kubwa duniani. Kwa miongo kadhaa, wakulima wa mwani hususan visiwani Zanzibar na mikoa ya...
DARFUR, SudanUGONJWA wa kipindupindu umesababisha vifo vya watu 40 ndani ya wiki moja nchini Sudan, huku vita vinavyoendelea vikihusishwa na tatizo hilo.Vita inayoendelea kati...
JAKARTA, IndonesiaWATU zaidi ya 360, wakiwamo wanafunzi, wameugua ghafla baada ya kupata chakula cha bure kinachotolewa shuleni mjini Sragen.Chakula hicho ni sehemu ya programu...
TORONTO, CanadaWAFANYAKAZI wa Shirika la Ndege la Canada wameendelea na mgomo wakishinikiza ongezeko la mshahara.Kwa mujibu wa Shirika hilo, mgomo huo wa wafanyakazi, wakiwano...
ISLAMABAD, PakistanWATU takribani 200 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko mjini Kashmir, Pakistan.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, likiwamo Shirika la...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Utafiti wa kipekee uliofanywa na mtaalamu wa mahusiano kati ya wanyama na binadamu (anthrozoologist) John Bradshaw kutoka Chuo Kikuu cha Bristol...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Takwimu kutoka Global Web Index (GWI) zinaonyesha kuwa miongoni mwa watumiaji wa intaneti duniani wenye umri wa miaka 16 na kuendelea,...
Na Nora Damian, Gazetini
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeendesha mafunzo maalum kwa Watetezi wa Haki za Watoto, yakilenga kuwaongezea ujuzi...