Ads: info@gazetini.co.tz |
27.2 C
Dar es Salaam

Jamii

Wanne wafariki kanisa likichomwa moto

MICHIGAN, MarekaniMTU asiyefahamika amechoma moto kanisa na kusababisha vifo vya watu wanne waliokuwa ndani wakati wa ibada ya Jumapili ya wiki iliyopita.Hata hivyo, Thomas...

Jinsi ya kukabiliana na taarifa za uzushi mitandaoni

Na Winifrida Mtoi, Gazetini TAARIFA za uzushi zimeendelea kusambaa kwa kasi kubwa katika mitandao ya kijamii, hasa kutokana na ongezeko la watumiaji wa majukwaa hayo...

Chart| Kilimanjaro kinara kwa idadi ya wazee Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KULINGANA na takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini...

Vijana Afrika na ndoto za maisha bora Ulaya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TAKRIBANI asilimia 60 ya vijana wa Afrika wanaamini watapata maisha bora endapo wataondoka na kwenda 'kupambana' nje ya Bara hili. Wengi wao...

Utafiti: Kukosa usingizi chanzo ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KUKOSA muda wa kutosha wa kulala, hasa nyakati za usiku, kunaweza kusababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya...

DC Nyamagana: Serikali inatambua kazi nzuri ya OSHA nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...

Ubungo yatenga zaidi ya milioni 28 kwa malezi ya awali ya watoto

Na Patricia Kimelemeta, Gazetini MANISPAA ya Ubungo imetengea bajeti ya fedha zaidi ya Sh milioni 28 kwa ajili ya utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Malezi,...

Tanzania yapoteza hekta 460,000 za misitu kila mwaka, sheria zatajwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TANZANIA inakabiliwa na ongezeko kubwa la upotevu wa misitu, hali inayochochea ukame, kukauka kwa vyanzo vya maji na kuharakisha mabadiliko ya...

OSHA kuiwezesha shule ya Kambangwa vifaa vya kujifunzia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeahidi kuiwezesha Shule ya Sekondari Kambangwa iliyopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam...

Afrika ‘jalala’ la wahamiaji haramu kutoka Marekani?

Na mwandishi wetu, GazetiniUGANDA imeungana na Eswatini, Sudan Kusini na Rwanda kuingia mkataba wa kupokea wahamiaji haramu wasiotakiwa nchini Marekani.Kuwaondosha wahamiaji haramu ni moja...

Ethiopia na hali mbaya ya vyombo vya habari 

Na mwandishi wetu, GazetiniMATUKIO ya vyombo vya dola kuvibana mbavu vyombo vya habari yameshika kasi nchini Ethiopia kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Juni, mwakani.Wengi...

Dira ya Maendeleo 2050 yasisitiza malezi bora ya watoto nchini

Na Patricia Kimelemeta, Gazetini DIRA ya Maendeleo ya Mwaka 2020-2050 imeitaka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuimarisha uchumi wa kati wa kiwango cha juu sambamba na...

Recent articles