Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Jamii

Wanafunzi 50 wawatoroka waasi Nigeria

LAGOS, NigeriaTUKIO la kikundi cha waasi nchini Nigeria kuvamia moja ya shule na kuteka wanafunzi 315 limechukua sura mpya.Wanafunzi hao walivamiwa Ijumaa ya wiki...

Waasi wavamia shule, wateka watu 300

LAGOS, NigeriaWATU wenye silaha waliodhaniwa kuwa ni miongoni mwa vikundi vya waasi wameteka watu 300, wakiwamo wanafunzi, baada ya kuvamia shule ya Kikatoliki.Idadi hiyo...

Mafuriko yaua watu 90

HANOI, VietnamWATU takribani 90 wamepoteza maisha na wengine 12 hawajulikana walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko nchini Vietnam.Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali,...

WHO: Dunia imeshindwa ukomesha ukatili dhidi ya wanawake

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) likishirikiana na wadau wa Umoja wa Mataifa limetoa ripoti muhimu leo jijini Geneva, Uswisi, ikibainisha kuwa...

WHO: Wanawake milioni 840 wamepitia unyanyasaji wa kijinsia

NEY YORK, MarekaniRIPOTI mpya ya Shirika la Afya ya Umoja wa Mataifa (WHO) imeeleza kuwa kati ya wanawake watatu, basi mmoja atakuwa amewahi kufanyiwa...

Mwili wa Joshua warejeshwa nyumbani baada ya kusubiri kwa miaka miwli

Mwandishi Wetu, Gazetini BAADA ya miaka miwili ya kusubiri kwa maumivu na wasiwasi, hatimaye mabaki ya mwili wa kijana Mtanzania Joshua Mollel (21) aliyedaiwa kuuawa...

Ripoti| Kisonono kinazidi kuwa sugu; WHO yaonya kuongezeka kwa usugu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari kali kuhusu kuongezeka kwa usugu wa bakteria wanaosababisha kisonono dhidi ya dawa muhimu zinazotumika...

Afrika Kusini kinara matumizi ya mtandao duniani

Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI mpya umeitaja Afrika Kusini kuwa ndiyo nchi ambayo wananchi wake wanatumia muda mwingi mitandaoni.Ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya...

Utafiti| Mataifa yanayoongoza kwa watu wake kuaminiana

Na mwandishi wetu, Gazetini NI kwa mujibu wa utafiti uliofanywa mwaka 2022 na kuchapishwa mwaka 2024, ukionesha kuwa Denmark, Norway, Finland, Sweden na Iceland ndiyo...

Dk. Mwigulu: Mafaili yamfuate mjamzito kitandani, marufuku

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...

Mataifa yanayoongoza kwa watu wake kuwa ‘singo’

Na mwandishi wetu, GazetiniJAPAN inatajwa na tafiti mbalimbali kuwa asilimia 40 ya raia wake hawako kwenye mahusiano ya kimapenzi. Kwamba si tu hawako kwenye...

Serikali yaboresha mfumo wa kukabiliana na majanga ya msimu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Brigedia Jenerali Hosea Ndagala, amewataka washiriki...

Recent articles