Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Jamii

Basi lateketea kwa moto, 40 wanusurika

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA ajali ya basi lililowaka moto, abiria 40 waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Malinyi, Morogoro, wamenusurika kupoteza maisha. Ni...

Wabunge Kenya wawajia juu wanajeshi Uingereza

NAIROBI, Kenya BUNGE la Kenya limewashutumu wanajeshi wa Uingereza likiwataja kufanya vitendo vya udhalilishaji walipokuwa kwenye mafunzo nchini humo. Kwa miaka mingi, vikosi vya jeshi...

Ndege iliyopotea kuanza kutafutwa Desemba 30

KUALA LUMPUR, Malaysia IKIWA ni miaka 14 imepita tangu ilipopotea, Serikali ya Malaysia itaanza tena operesheni ya kuisaka ndege yake aina ya Boeing 777. Kwa...

Familia yahofia Khan amefariki gerezani

ISLAMABAD, Pakistan KWA sasa, familia ya Imran Khan inahofia kuwa huenda Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Pakistan amefariki akiwa gerezani. Khan alikuwa Waziri Mkuu...

Tume yaundwa kuchunguza ajali ya moto

VICTORIA, Hong Kong KIONGOZI wa Hong Kong, John Lee, ameunda Tume ya kuchunguza chanzo cha ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu takribani 151. Jumatano...

Trump amtoa gerezani rais aliyehukumiwa miaka 45

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez, ametoka gerezani kwa msamaha wa Rais wa Marekani, Donald Trump. Orlando Hernandez alikuwa akitumikia...

Mgonjwa adaiwa kubakwa na tabibu, watatu wasimamishwa kazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WATUMISHI watatu wa kada ya afya, akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Urambo, wamesimamishwa kazi kufuatia sakata la mgonjwa kudaiwa kubakwa...

Watu 20 watekwa Nigeria, wamo mchungaji na bibi harusi

ABUJA, Nigeria Watu wenye silaha wamewateka nyara takriban watu 20, wakiwemo mchungaji wa kanisa na bibi harusi, katika mashambulizi mawili tofauti yaliyotokea nchini Nigeria katika...

Mtaalamu: Saidieni jamii kutambua manufaa ya bahari

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAANDISHI wa habari nchini wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kusaidia jamii, hususan ile inayoishi kandokando ya ukanda wa pwani, kutambua...

Kenya yaongoza nguo za mitumba Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI wa Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts (MIT) umebaini kuwa Kenya kwa sasa ndilo taifa linaloagiza kwa kiasi kikubwa zaidi nguo...

Mama jela maisha kwa kuua, kuficha miili ya watoto

WELLINGTON, New ZealandMWANAMKE mmoja nchini New Zealand amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya kuua watoto wake wawili,...

Imani za kishirikina na matumizi ya viungo vya binadamu

Na mwandishi wetu, GazetiniIKO hivi; kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2022 ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Taifa la Siera...

Recent articles