Ads: info@gazetini.co.tz |
29.4 C
Dar es Salaam

Jamii

Singapore yaongoza kwa usalama duniani

Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika mataifa 144 duniani umeitaja Singapore kuwa ndiyo kinara linapokuja suala la usalama.Singapore, Taifa la barani...

Kinga ya Ukimwi ilivyozua gumzo Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe IFAHAMIKE kuwa Zimbabwe ni miongoni mwa mataifa 10 duniani yaliyochaguliwa kupokea kinga ya ugonjwa wa Ukimwi ya Lenacapavir. Hata hivyo, wakati wataalamu wa...

Kwanini paka weusi huhusishwa na imani za kishirikina?

Na mwandishi wetu, GazetiniUKIWA kwenye mizunguko yako, hasa nyakati za usiku, ghafla anakatiza paka mweusi mbele yako. Bila shaka, utaanza kuhisi hatari inayohusiana na...

Dk. Judith Spendi: Uchumi na maendeleo yetu vimejengwa juu ya amani ya Tanzania

Mwandishi Wetu, Gazetini ZIKIWA zimesalia siku chache kabla ya Watanzania kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wito wa kudumisha amani na mshikamano umeendelea kutolewa...

Polisi Dar yaonya vurugu wakati wa uchaguzi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini IKIWA zimesalia siku chache kabla ya Tanzania kufanya uchaguzi mkuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro,...

OSHA yahimiza viongozi wa wafanyakazi kulinda afya na usalama kazini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini VIONGOZI wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wa Mkoa wa Dar es Salaam wapatao 180 wamepatiwa mafunzo ya...

Halopesa yatoa msaada wa viti mjongeo Hospitali ya Mwananyamala

Na Imani Nathanieli Katika kuadhimisha miaka tisa, Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel kupitia huduma ya kifedha ya Halopesa, imetoa msaada wa viti mjongeo 15 kwa...

Utafiti: Sokwe nao ni walevi wa pombe kama binadamu

Na Hassan Mwasha, GazetiniKAMA ulidhani binadamu ndiye kiumbe pekee kinachotumia kilevi aina ya pombe hapa duniani kwa ajili ya starehe au kupoteza mawazo, basi...

Afrika Kusini na harakati za kupiga marufuku biashara ya ukahaba

PRETORIA, Afrika KusiniAFRIKA Kusini inaweza kuwa Taifa la kwanza barani Afrika kupitisha sheria inayopiga marufuku biashara ya ukahaba, ingawa ugumu wa maisha, hasa kwa...

Tamthilia Azam TV; Uhondo umeanzia walipoishia ITV

Na mwandishi wetu, GazetiniLEO hii, kama ni 'mateka' wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa na Azam TV, basi tunaweza kusema unaiishi dunia yenye kumbukumbu nzuri...

Wapenzi waliotenganishwa na vita kwa miaka zaidi miwili waungana tena

YERUSALEMU, Israel Wapenzi wa Israel walioitwa ‘Romeo na Juliet’ wameungana tena baada ya zaidi ya miaka miwili tangu kutenganishwa na mashambulizi ya Hamas. Noa Argamani, aliyekuwa...

IWPG Global Region 2 Discusses International Cooperation with the AU, CIEFFA

During the “2025 World Women’s Peace Conference” held at Enford Hotel in Cheongju, Chungbuk, the International Women’s Peace Group (IWPG) Global Region 2 (Director...

Recent articles