MIAKA nane iliyopita, jina la Isabel dos Santos liliteka vichwa vya habari ndani na nje ya Afrika baada ya binti huyo wa Rais wa zamani wa Angola, Jose...
AMA hakika utalii ni sekta nyeti nchini, kama ilivyo kwa madini, kilimo, na nyinginezo zinazotegemewa kuchangia pato la Taifa. Ndiyo, sekta ya utalii huchangia...
WIKI iliyopita, wachambuzi wa masuala ya kiusalama nchini Marekani walionya, wakisema zimebaki wiki chache tu Kundi la Taliban kurudi madarakani nchini Afghanistan.
Ikumbukwe kuwa angalizo...
HATIMAYE Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemaliza kazi yake ya msingi, kumtangaza mshindi wa kinyang’anyiro cha urais, hatua iliyochukua siku tatu za kuhesabu kura.
Mgombea...
TATIZO la Ugonjwa wa Saratani ya Macho (Retinoblastoma) kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano limeanza kushamiri mkoani Mbeya kutokana na idadi...
CHANGAMOTO ya uhaba wa ajira imekuwa kaa la moto duniani kote, hasa kwa nchi zinazoendelea, ikiwamo Tanzania, huku wahanga wakubwa wakiwa ni vijana.
Aidha, ongezeko...
DAR ES SALAAM, TANZANIA
KWA bahati mbaya, kipaumbele cha walio wengi huwa ni kupata nafasi ya ajira, shughuli yoyote inayoweza kumuingizia kipato.
Hivyo basi, asilimia kubwa...
MICHUANO ya Olimpiki inaendelea huko Tokyo, Japan, huku ikitarajiwa kufikia ukomo wake Agosti 8, mwaka huu. Ikumbukwe ni mashindano yaliyopaswa kufanyika mwaka jana lakini...
Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha Nusu ya Kwanza ya mwaka 2021.
Faida baada ya kodi ya mapato imeongezeka...
Wakati sheria ya ongezeko la tozo za miamala ya simu iliyoanza kutumika nchini Julai 15, mwaka huu, ikilalamikiwa kila kona, Watanzania walio wengi wameanza...