Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Simba SC: ‘Do or Die’ kuwavusha makundi Ligi ya Mabingwa Afrika?

Na mwandishi wetu, Gazetini 'DO or Die' ndicho kitu pekee wanachohitaji Simba ili kuvuka makundi na kuingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu...

India inavyochangamkia nafasi za ajira Urusi

NEW DELHI, India UHABA wa wafanyakazi unaoikumba Urusi kwa sasa umegeuka fursa kwa raia wa India, ambao sasa wanamimilika kwa wingi nchini humo.Raia wa India...

Visual| Makusanyo Sekta ya Madini wafikia Trilioni 1.07

Na mwandishi wetu, Gazetini WIZARA ya Madini imetangaza mafanikio makubwa katika utekelezaji wa ahadi na maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku...

Adamu, kaka yake jela kwa wizi msikitini

ABUJA, Nigeria MAHAKAMA ya Wilaya ya Wuse mjini Abuja imewahukumu ndugu wawili kifungo cha miezi minne gerezani kila mmoja baada ya kukutwa na hatia katika...

Mwanasiasa wa upinzani anusurika kuuawa

NAIROBI, Kenya RIGATHI Gachagua, ambaye ni mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Kenya, amedai kuponea chupuchupu katika jaribio la kuuawa. Kwa mujibu wa Gachagua, polisi walivamia kanisa...

Mafanikio ya Rwanda maambukizi ya UKIMWI

KIGALI, Rwanda KWA miaka ya hivi karibuni, Rwanda imewekeza vya kutosha katika kukabiliana na ugonjwa wa Ukimwi, takwimu zinaeleza. Kwa mwaka 2024, maambukizi mapya ya virusi...

Usiyoyajua kuhusu Siku ya Elimu Duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini JANUARI 24 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Elimu. Siku ambayo jamii hukumbushwa juu ya umuhimu wa elimu bora kwa...

Visual| Wanawake 6 wenye ushawishi zaidi Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini WANAWAKE takribani 500,000 waliacha kazi nchini Marekani, kwa mujibu wa takwimu za Jarida la Forbes. Takwimu hizo ni kuanzia Januari hadi...

Visual| Usajili wa watangazaji mapinduzi na hamahama kwenye redio Bongo

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka ya hivi karibuni, wamiliki wa vituo vya redio na runinga hapa nchini wameshuhudiwa wakitunishia msuli wa fedha kwa kunyang'anganya...

Visual| Nchi zinazoongoza kwa Pikipiki ‘bodaboda’ duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini PIKIPIKI ni chombo cha matairi matau kilichojizolea umaarufu mkubwa katika sekta ya usafirishaji. Wengi wanapoziita 'bodaboda' hulenga pikipiki za biashara, ingawa msingi...

Marekani yajitoa WHO

WASHINGTON DC, Marekani SERIKALI ya Marekani imetangaza rasmi kujiondoa katika Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO). Rais Donald Trump alisaini agizo la kujitoa WHO...

Ndejembi: Haki za wafanyakazi zinapaswa kusimamiwa ipasavyo

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amefungua Kikao cha 55 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kinachofanyika...

Recent articles

spot_img