WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako.
Mathalan, kwenda polisi kwa suala la madai ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MSANII wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ametoa kibao kikali kinachokwenda kwa jina la POM POM.
Katika wimbo huo, Bruce Melodie amepiga...
LONDON, Uingereza
KWA miaka zaidi ya 33, Ligi Kuu ya England (EPL) imeshuhudia makocha wakiingia na kutoka, wachache tu wakimudu ushindani uliopo na kujijengea heshima...
LONDON, Uingereza
Leighton ndiye anayewauzia magari mastaa wengi wa klabu. Miongoni mwao wachezaji aliochota fedha zao kwa kuwauzia 'mandinga' ya kifahari ni Harry Kane, John...
LAGOS, Nigeria
POLISI nchini Nigeria wamekanusha taarifa zinazodai kuwa kikundi cha waasi kimevamia kanisa na kuteka waumini huko maeneo ya Kaskazini.
Akikanusha uvumi huo, Kamishna wa...
TOKYO, Japan
HELIKOPTA iliyoripotiwa kubeba watalii wawili imepotea karibu na Mlima wa Aso nchini Japan. Ni moja ya milima yenye volkano hai nchini humo.
Taarifa ya...
MANCHESTER, Uingereza
MANCHESTER City imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka Crystal Palace, Marc Guehi, ambaye ametokea Crystal Palace kwa ada ya Pauni milioni 20.
Guehi...
LOS ANGELES, Marekani
Kwa sasa, mtoto wa kiume wa Beckham, Brooklyn, haongei na baba wala mama yake. Kama hiyo haitoshi, alishahama nyumbani kwao na kujiweka...
KAMPALA, Uganda
HALI ya afya ya mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, imeripotiwa kuwa mbaya wakati huu akiendelea kusota gerezani.
Kwa mujibu wa kile...
TOKYO, Japan
TETSUYA Yamagami ambaye ni mshitakiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amehukumiwa kifungo cha maisha.
Yamagami amekuwa chini ya...
OUAGADOUGOU, Burkina Faso
RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Paul-Henri Sandaogo Damiba, amekamatwa na vyombo vya dola vya Togo, na kisha kurejeshwa nchini kwake, ambako...