Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Iraq katikati ya vita hadi kufuzu Kombe la Dunia 2026

BAGHDAD, Iraq MOJA ya vivutio vya fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazoanza Juni 11, 2026 ni uwepo wa timu ya soka ya...

Timu hizi zikikutana ni balaa Kombe la Dunia 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini MACHO yote yataelekezwa Mexico ifikapo Juni 11, 2026 kushuhudia mchezo wa ufunguzi wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu,...

Asali sasa dili Marekani, uzalishaji wapungua

NEW YORK, Marekani KUNA uhitaji mkubwa wa asali nchini Marekani baada ya kiwango cha uzalishaji kushika kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea, kwa mujibu wa...

Ripoti: Matukio ya unyanyasaji wa kingono yameongeka duniani

NEW YORK, Marekani NI kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa (UN), kwamba takribani visa 10,000 vya unyanyasaji wa kingono viliripotiwa katika maeneo...

Huyu ndiye mchezaji ‘mzee’ zaidi Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza ZIMABEKI siku tisa tu. Ni fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza Juni 11, 2026 huko Marekani, Canada na Mexico, zikitarajiwa kufanyika kwa mwezi...

Wabunge wa New Zealand wazuiwa kuingia China

BEIJING, China WABUNGE nne wa New Zealand wamewekewa katazo la kuingia China baada ya ziara yao nchini Taiwan. Kwa mujibu wa taarifa, ziara hiyo iliwahusisha wabunge...

Samia aitahadharisha Afrika kuhusu mapinduzi ya AI

Na mwandishi wetu, Gazetini Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna taifa linaloweza kubaki nyuma katika dunia ya sasa inayotawaliwa na teknolojia, akili bandia...

Wawili wakamatwa wakiuza jezi ‘feki’ za Kombe la Dunia

TORONTO, Canada POLISI nchini Canada wanawashikikia watu wawili baada ya kuwakuta na mzigo wa jezi feki za fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

Mr Flavour: Siwezi kutulia na mwanamke mmoja

LAGOS, Nigeria STAA wa muziki nchini Nigeria, Chinedu Okoli, maarufu kwa jina la Mr Flavour, ameweka wazi kuwa ni ngumu kwake kuwa kwenye mahusiano na...

Serengeti Boys kuandika historia nyingine Kombe la Dunia?

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya kufika fainali ya AFCON kwa vijana wa U-17, Serengeti Boys itashiriki michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana wa...

Ajali ya moto hotelini yaua watu 21

NEW DELHI, India RAIA wa kigeni 21, wakiwamo wa Nigeria, Msumbiji na Liberia, wamepoteza maisha katika ajali ya moto iliyotokea katika hoteli moja mjini Delhi. Wizara...

Walker amlipua Tuchel kisa Maguire kuachwa kikosini

LONDON, Uingereza Mbali na Maguire, Walker hajafurahisishwa na uamuzi wa Tuchel kutowaita kikosini Luke Shaw na Morgan Gibbs-White. “Harry Maguire na Luke Shaw walikuwa na viwango...

Recent articles

spot_img