27.7 C
New York

Walker amlipua Tuchel kisa Maguire kuachwa kikosini

Published:

LONDON, Uingereza

Mbali na Maguire, Walker hajafurahisishwa na uamuzi wa Tuchel kutowaita kikosini Luke Shaw na Morgan Gibbs-White.

“Harry Maguire na Luke Shaw walikuwa na viwango bora Manchester United lakini hawajaitwa. Nafikiri Luke Shaw na Harry Maguire walipaswa kujumuhishwa,” amesema Walker.

Wakati huo huo, mlinzi huyo wa Burnley amesema Gibbs-White alikuwa na kiwango kizuri akiwa na Nottingham Forest lakini Tuchel aliamua kumwacha kwenye safari ya Kombe la Dunia.

Kwa upande mwingine, mbali ya watatu hao, nyota wengine walioachwa na kuzua gumzo ni Trent Alexander-Arnold, Phil Foden na Cole Palmer.

Related articles

Recent articles