Ads: info@gazetini.co.tz |
26 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Mafuriko yaua 24, wengine 25 watafutwa

TEXAS, MarekaniMVUA kubwa iliyosababisha mafuriko imeondosha uhai wa watu 24, huku wengine 25 wakiendelea kutafutwa.Kwa mujibu wa taarifa za mamlaka, wahanga wa majanga hayo...

Ishu ya Aziz Ki kurudi Yanga iko hivi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini BAADA ya taarifa nyingi zinazomtaja kiungo Stephane Aziz Ki kurudi Yanga, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amefunguka. Aziz Ki,...

Arteta awapa wiki mbili mabosi Arsenal

LONDON, EnglandKOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amewapa wiki mbili viongozi wa klabu hiyo kuhakikisha wanamnasa straika wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres.Na endapo wataikosa saini...

Partey akwaa kesi ya kubaka

LONDON, EnglandKIUNGO wa Arsenal na timu ya taifa ya Ghana, Thomas Partey, ameshitakiwa kwa kosa la kubaka.Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, Partey alifanya...

Tembo aua watalii wawili

LUSAKA, ZambiaWATALII wawili, akiwamo raia wa Uingereza, wamepoteza maisha baada ya kushambuliwa na tembo.Easton Taylor mwenye umri wa miaka 68 na mwenzake raia wa...

Urusi yaiunga mkono Taliban

KYIV, UrusiURUSI limekuwa taifa la kwanza kutangaza kuitambua Serikali ya Taliban inayoiongoza Afghanistan.Haiishii hapo, bali pia Serikali ya Urusi kupitia kwa Wizara ya Mambo...

Wakala wa Bale aingia matatani

LONDON, EnglandWAKALA wa soka maarufu, Jonathan Barnett, amefunguliwa mashitaka akituhumiwa kwa makosa ya udhalilishaji wa kijinsia.Barnett (75), ambaye aliwahi kuwasimamia mastaa Gareth Bale na...

Salah akatisha likizo kisa Jota

MERSEYSIDE, EnglandMSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohamed Salah, amelazimika kukatiza likizo na kurejea Uingereza kutokana na kifo cha mchezaji mwenzake wa klabu hiyo, Diogo Jota.Kwa mujibu...

Staa Arsenal kumfuata Ronaldo

RIYADH, Saudi ArabiaMATAJIRI wa Al-Nassr ya Saudi Arabia wanaiwinda saini ya mshambuliaji wa kiwango cha juu katika kikosi cha Arsenal, Gabriel Martinelli.Mpango wa Al-Nassr...

Jota, kaka yake wafariki ajali ya gari

MERSEYSIDE, EnglandMSHAMBULIAJI wa Liverpool, Diogo Jota, amefariki katika ajali ya gari. Amepoteza maisha akiwa na umri wa miaka 28.Katika ajali hiyo iliyotokea leo katika...

PSG wajitosa kwa Rodrygo

PARIS, UfaransaVIGOGO wa Ligue 1, PSG, wameingia rasmi katika mBio za kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil,...

P. Diddy akwaa kisiki, arudishwa gerezani

NEW YORK, MarekaniSTAA wa muziki wa Hip hop, Sean Combs 'P. Diddy', amekwaa kisiki katika kesi zinazomkabili baada ya juzi kunyimwa dhamana.P. Diddy anasota...

Recent articles

spot_img