LILLE, UfaransaSTAA wa zamani wa Chelsea, Eden Hazard, ameeleza kushangazwa na namna Olivier Giroud anavyoendelea kucheza kwa kiwango cha juu, licha ya umri wake...
MANCHESTER, EnglandKOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amewataka mabosi wake kuhakikisha wanainasa saini ya mlinda mlango wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen.Man City, baada ya...
LONDON, EnglandKLABU za Ligi Kuu ya Saudi Arabia zinapigana vikumbo kuiwania saini ya winga wa Chelsea, Raheem Sterling.Sterling aliyecheza kwa mkopo Arsenal, ameshaambiwa wazi...
PRETORIA, Afrika KusiniVIGOGO wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Orlando Pirates, wanaitaka saini ya kiungo wa zamani wa Simba, Sadio Kanoute.Kwa mujibu wa kile...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi, amewahimiza watumishi wa umma kujenga utamaduni wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Benki ya CRDB imesema kampeni ya kuhamasisha matumizi ya kidigitali katika kufanya miamala kupitia kadi ya Tembocard imekuwa na mafanikio makubwa.
Kampeni...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
Mkoa wa Kagera umeandika historia mpya ya maendeleo kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi Aprili 2025, kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, amesema kuwa hadi kufikia Juni 28, 2025 — zikiwa zimebaki siku chache...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dar es Salaam
Katibu tawala wilaya ya Kinondoni - DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea...
PARIS, UfaransaSHERIA mpya nchini Ufaransa inapiga marufuku uvutaji wa sigara katika maeneo ya fukwe, shule na maegesho ya magari.
Kwa mujibu wa sheria, atakayekiuka, basi...
KAMPALA, Uganda
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameweka wazi mpango wake wa kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mapema mwakani.
Rais Museveni, ambaye sasa ana...