Na mwandishi wetu, GazetiniTAIFA kongwe la Afrika Magharibi, Ivory Coast, limeingia katika Uchaguzi Mkuu, huku wagombea watano wakiwania kiti cha urais. Miongoni mwao ni...
MADRID, HispaniaKIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham, amefunga bao moja na kutoa 'asisti' katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Real Madrid.Akifunga katika dakika...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWAKA jana, Ras Donald Trump alitangaza kuiwekea vikwazo Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) kwa kile alichodai kuwa Mahakama hiyo imekuwa...
Mwandishi Wetu, Gazetini
ZIKIWA zimesalia siku chache kabla ya Watanzania kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wito wa kudumisha amani na mshikamano umeendelea kutolewa...
CONAKRY, GuineaRAIA wa Guinea wameshangazwa na gharama kubwa ya fomu ya kuwania urais iliyotangazwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Desemba, mwaka huu.Gharama ya fomu ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
JUMATANO ya wiki ijayo, Oktoba 29, Watanzania watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani. Ni haki ya Kikatiba inayotekelezwa kila baada...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
IKIWA zimesalia siku chache kabla ya Tanzania kufanya uchaguzi mkuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
VIONGOZI wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wa Mkoa wa Dar es Salaam wapatao 180 wamepatiwa mafunzo ya...
HARARE, ZimbabweMATOKEO mabaya katika mechi za kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia yamesababisha kocha wa timu ya taifa ya Zimbabwe 'Warriors', Michael Nees,...
ISTANBUL, UturukiSTRAIKA wa kimataifa wa Nigeria, Victor Osimhen, jana alifunga mara mbili na kutoa 'asisti' katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Bodo/Glimt.Ni kwa...
YOUNDE, CameroonMAHAKAMA Kuu nchini Cameroon imesisitiza kuwa haina mpango wa kufuta Uchaguzi Mkuu, na badala yake itatangaza matokeo ifikapo Jumatatu ya wiki ijayo.Kwa sasa,...