LOS ANGELES, MarekaniMWANAMUZIKI wa Hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, ameiunga mkono kauli ya Rais Donald Trump aliyedai kuwa waumini wa Dini ya Ukiristo...
KYIV, UkraineWATU takribani 26, wakiwamo watoto watatu, wamepoteza maisha katika shambulizi la Urusi nchini Ukraine.Vifo hivyo vimetokana na shambulizi la ndege isiyo na rubani...
MANCHESTER, UingerezaMKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney, amewataja wachezaji watatu wanaomvutia msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL).Akihojiwa hivi karibuni, Rooney alianza kwa...
LONDON, UingerezaUPEPO unavuma vibaya kwa Jonathan Barnett, ambapo wakala huyo wa soka anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji mjini London.Kwa mujibu wa kile kilichoelezwa mahakamani,...
Mwandishi Wetu, Gazetini
BAADA ya miaka miwili ya kusubiri kwa maumivu na wasiwasi, hatimaye mabaki ya mwili wa kijana Mtanzania Joshua Mollel (21) aliyedaiwa kuuawa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari kali kuhusu kuongezeka kwa usugu wa bakteria wanaosababisha kisonono dhidi ya dawa muhimu zinazotumika...
Belem, BRAZIL
PAPA Leo XIV amehimiza viongozi kuchukua hatua thabiti dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na kulalamika kuwa baadhi ya viongozi hawana mapenzi ya kutenda,...
RIO, BrazilMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Brazil, Neymar, atakuwa mchezaji huru katika usajili wa dirisha dogo la usajili hapo Januari, mwakani. Mkataba wake na Santos...