Ads: info@gazetini.co.tz |
28.7 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Minziro akabidhiwa Fountain Gate FC

Na Mwandishi Wetu KLABU ya Fountain Gate FC imemtangaza Fred Felix Minziro kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Mohamed Laizer ambaye amefutwa...

Okello awapa maneno matamu Wanayanga

Na Mwandishi Wetu Nyota wa Yanga, Allan Okello amewahakikishia mashabiki wa timu hiyo kuwa watamaliza kila kitu ndani ya dakika 90 katika mchezo wa hatua...

Klabu 16 kuchuana mashindano ya Taifa ya kuogelea kesho

Na Mwandishi Wetu JUMLA ya klabu 16 za mchezo wa kuogelea kutoka ndani na nje ya Tanzania zinatarajia kushiriki mashindano Taifa yatayoanza kesho Aprili 10-12,...

Rekodi ya Raul yavunjwa Madrid

MADRID, Hispania REKODI ya mkongwe Raul Gonzalez iliyodumu kwa miaka 30 katika klabu ya Real Madrid imevunjwa rasmi. Ni katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya...

Neuer afika ‘levo’ za Messi

MUNICH, Ujerumani MLINDA mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer, amefikisha mechi 136 akiwa kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Idadi hiyo ni sawa na aliyokuwa nayo...

Chelsea hesabu kali kwa Nunez

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imeonesha kuvutiwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Darwin Nunez. Nunez raia wa Uruguay aliondoka Anfield mwaka jana na kutua Al-Hila...

Trump aitishia kuiangamiza Iran ikiwa Hormuz haitafunguliwa

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameionya Iran kuwa inaweza “kuangamizwa ndani ya usiku mmoja” endapo haitafikia makubaliano kabla ya muda wa mwisho...

Mameya duniani wasaka suluhu la afya mijini wa miji

LYON, Ufaransa MAMEYA na wawakilishi waandamizi wa Serikali za mitaa kutoka sehemu mbalimbali duniani Aprili6, 2026 wamekutana jijini Lyon nchini Ufaransa na kuzindua muungano wa...

Arsenal kuanza na Olmo?

LONDON, Uingereza ARSENAL wanaangalia uwezekano wa kuanza na mshambuliaji wa Barcelona, Dani Olmo, pindi tu dirisha kubwa la usajili la kiangazi litakapofunguliwa. Ripoti zinaeleza kuwa Arsenal...

Tamasha la Wireless lafutwa baada ya Uingereza kumzuia Kanye West

LONDON, Uingereza WAANDAAJI wa Tamasha la Wireless wametangaza kufutwa kwa tamasha la mwaka huu kufuatia uamuzi wa serikali ya Uingereza kumzuia msanii maarufu YE, anayejulikana...

Marekani yawahamishia wahamiaji nane Uganda

KAMPALA, Uganda SERIKALI ya Marekani imewahamishia nchini Uganda wahamiaji haramu nane, ukiwa ni utekelezaji wa mkataba uliosaniwa mwaka jana kati ya mataifa hayo. Wizara ya Mambo...

Arsenal yakaribia kumnasa Diomande

LONDON, Uingereza WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wanapewa nafasi kubwa ya kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig ya Bundesliga, licha ya Liverpool nao kumtolea macho. Nyota huyo...