Ads: info@gazetini.co.tz |
21.9 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Prodyuza wa Grammy akutwa amefariki

LOS ANGELES, Marekani PRODYUZA aliyewahi kuwania tuzo za Grammy, Tay Keith, ameripotiwa kufariki akiwa na umri wa miaka 29. Tay mkazi wa Nashville alijijengea jina kubwa...

Kamanda wa polisi Mkoa wa Tabora afariki dunia

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa...

Nyuma ya Cristiano Ronaldo kuna mrembo Katia Aveiro

CALIFORNIA, Marekani BAADA ya timu ya soka ya Taifa ya Ureno kulazimishwa sare ya bao 1-1 na DRC, lawama zote zilielekezwa kwa nahodha wa kikosi,...

Ibenge aficha silaha za kuibana Yanga

Na mwandishi wetu, Gazetini KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amegoma kuanika mbinu za kiufundi atakazozitumia katika mchezo wao dhidi ya Yanga. Timu hizo zitakutana kesho...

Kocha Yanga: Kwa Azam tunataka fainali tu

Na mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa benchi la ufundi la Yanga, Abdihamid Moallin, amesema kufika fainali ya FA ni moja ya mipango yao, licha ya...

RFB: Tozo za mafuta ndizo mhimili wa matengenezo ya barabara nchini

Na mwandishi wetu, Gazetini MFUKO wa Barabara (RFB) umesema tozo zinazotozwa kwenye mafuta ya petroli na dizeli ndizo chanzo kikuu cha fedha zinazowezesha matengenezo ya...

Tanesco yafungua njia magari ya umeme Tanzania

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati ya umeme katika vyombo...

Geita Gold ilivyovunja rekodi ikitinga tena Ligi Kuu Bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini GEITA Gold haijatinga Ligi Kuu Bara kinyonge, na badala yake imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Bara (Championship) ikiwa na...

Hakimi aandika historia mpya Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico NAHODHA wa timu ya soka ya Morocco, Achraf Hakimi, amekuwa mchezaji wa Afrika aliyecheza mechi nyingi za Kombe la Dunia. Nyota huyo wa...

Haiti yatangulia kung’oka Kombe la Dunia 2026

NEW YORK, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Haiti imekuwa ya kwanza kuaga msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia zinazofanyika Marekani, Mexico...

Vifo vya wahamiaji vyaongezeka nchini Marekani

WASHINGTON DC, Marekani IDADI ya vifo vya wahamiaji wanaoshikiliwa katika magereza nchini Marekani imeongezeka mara dufu tangu Rais Donald Trump aliporejea madarakani. Kwa mujibu wa Gazeti...

Aliyeitungua Ureno bado kidogo awe kipofu

HOUSTON, Marekani URENO ya Cristiano Ronaldo ingeweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi yao ya kwanza msimu huu wa Kombe la Dunia lakini...