29.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Ni kweli wahitimu vyuo vikuu hawahajiriki?

Na mwandishi wetu, Gazetini SUALA la kupata nafasi ya ajira baada tu ya kumaliza masomo limekuwa 'pasua kichwa' kwa wahitimu wengi wa vyuo vikuu. Si...

Serikali yaendelea na maandalizi ujenzi reli ya Kusini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi...

Dk. Mwigulu: Serikali kununua matrekta 10,000 kuinua kilimo

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za...

Utafiti: Idadi ya ‘wanaojichua’ imeongezeka Uingereza

Na mwandishi wetu, Gazetini IDADI ya watu 'wanaojichua' imeongezeka kwa kasi nchini Uingereza, huku wengi wao wakiwa ni wanaume, licha ya wanawake pia kujihusisha na...

Alcaraz alivyoweka rekodi tenesi duniani

MADRID, Hispania BAADA ya kumfunga mkongwe Nikovac Djokovic, Carlos Alcaraz ameandika historia mpya katika mchezo wa tenesi duniani. Alcaraz raia wa Hispania, alimtandika Djokovic na kutwaa...

Chisora v Wilder: Vita ya karne ngumi za uzito wa juu duniani

LONDON, Uingereza NI rasmi sasa Derek Chisora na Deontay Wilder watavaana, huku pambano hilo la ngumi za uzito wa juu duniani likitarajiwa kupigwa Aprili, 2026...

Rais Samia kushiriki mkutano wa WGS 2026

Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo Februari 2, 2026 kwenda Dubai, Falme za Kiarabu, ambapo anatarajiwa kushiriki katika uzinduzi wa...

Dk. Nchimbi atoa rai kwa Majaji na Mahakimu kuhusu uhuru wa Mahakama

Na Mwandishi Wetu. Gazetini MAKAMU wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi ametoa rai kwa Majaji na Mahakimu nchini kuwa uhuru wa Mahakama usitumike kama sehemu ya...

Yanga yaingilia ugomvi wa Mangungu na mshabiki Simba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema umesikitishwa na kitendo cha vurugu alichofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu na mashabiki...

Kiongozi Boko Haram auawa

LAGOS, Nigeria JESHI nchini Nigeria limefanikiwa kumuua aliyekuwa kiongozi wa Kundi la kigaidi la Boko Haram, Abu Khalid, katika operesheni iliyofanyika katika Msitu wa Sambisa...

Simba maji ya shingo CAF, yaambulia sare kwa Esperance

Na mwandishi wetu, Gazetini LICHA ya kuongoza kwa mabao 2-0, Simba imejikuta ikiambulia pointi moja baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 na Esperance, mchezo uliochezwa...

UAE yachangia chakula Sudan

DUBAI, UAE UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE) umechangia kiasi cha Dola za Marekani milioni 20 kwa ajili ya chakula nchini Sudan, ambako vita vya...