Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Infantino kung’oka FIFA, nani kuchukua nafasi yake?

NYON, Uswis MAMBO hayuko vizuri kwa Rais Gianni Infantino. Ameachana na mpango wake wa kuuza hisa za michuano ya FIFA, ikiwamo Kombe la Dunia, baada...

Vijana wahimizwa kutumia fursa za kiuchumi

Na Malima Lubasha, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Angelina Lubela, amezindua Jukwaa la Vijana (Youth Platform) ikiwa ni hatua ya kuimarisha ushiriki...

Penzi la ujana hadi ndoa; kapo za mastaa zilizodumu miaka mingi

LOS ANGELES, Marekani KUDUMU muda mrefu kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa si jambo rahisi, hasa unapokuwa na jina na mafanikio makubwa. Mastaa wengi...

Watu milioni tatu hatarini kupata Ukimwi mwaka 2030

RIO, Brazil KWA mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa kupitia Programu yake ya Ukimwi (UNAIDS), watu zaidi ya milioni tatu watakuwa na maambukizi ya...

Vyakula hivi kiboko ya ugonjwa wa kiharusi

Na mwandishi wetu, Gazetini WATU takribani 795,000 hupata kiharusi (kupooza) kila mwaka nchini Marekani, huku wataalamu wakionya juu ya mtindo wa maisha, pia wakishauri aina...

Sikia hii ya unga wa protini kujenga mwili, kupunguza uzito

Na mwandishi wetu, Gazetini MARA kadhaa baadhi ya wataalamu wa mazoezi ya viungo huko mitandaoni, hasa TitTok na Instagram wamekuwa wakihimiza matumizi ya protini kwa...

Argentina, Uingereza zinagombea Visiwa hivi

LONDON, Uingereza 'MALVINA ni Argentina' ni ujumbe uliosomeka katika bango walilobeba wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina baada ya kuifunga England katika...

Usajili unaoakisi uchumi wa klabu au mfuko wa tajiri?

Na Hassan Mwasha NIMEFUATILIA ubize wa vigogo wa soka la Tanzania, Yanga na Simba, katika soko la usajili wa dirisha kubwa kuelekea msimu mpya wa...

Nyota sita Argentina kupigwa ‘stop’ Kombe la Dunia

NYON, Uswis WACHEZAJI wapatao sita wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina huenda wakafungiwa kushiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwaka 2030. Kwa...

Davido kuibukia uigizaji wa ‘muvi’

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Davido, ameeleza nia yake ya kuwa mwigizaji kwenye soko la filamu nchini Nigeria (Nollywood). Katika mahojiano yake ya hivi...

Infantino anyoosha mikono, aachana na mpango wake

NYON, Uswis HATIMAYE Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametangaza kuachana na mpango wake wa kuuza hisa za Kombe la Dunia...

Rais aliyehukumiwa miaka 15 gerezani aachiwa

LIMA, Peru MAHAKAMA ya Katiba ya Peru imeamuru kuachiwa huru kwa Rais wa zamani wa Taifa hilo, Ollanta Humala, ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 15...