Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Mastaa EPL watakaoibukia AFCON 2025

CAIRO, Misri MSIMU huu wa fainali za Mataifa Afrika (AFCON) utaanza Desemba 21, mwaka huu, na kumalizika Januari 18, mwakani. Kama ilivyo kawaida, fainali hizo huzipa...

Chelsea yasajili kinda wa miaka 16

LONDON, UingerezaKLABU ya Chelsea imeinasa saini ya kinda mwenye umri wa miaka 16 kutoka katika kikosi cha Independiente del Valle ya Ecuador, Deinner Ordonez.Independiente...

Wezi wanavyowanyima raha wanasoka Ulaya

LONDON, UingerezaTUKIO la Raheem Sterling kuvamiwa na majambazi akiwa na familia yake nyumbani limetikisa vyombo vya habari barani Ulaya, ikiwa ni mara ya pili...

Korea ya Kaskazini na mafanikio soka la wanawake

Na mwandishi wetu, GazetiniSOKA la wanawake nchini Korea ya Kaskazini limepata mafanikio makubwa katika miaka ya hivi karibuni, ambapo timu yake ya vijana wenye...

Mastaa wanaopatikana bure soko la usajili Ulaya

LONDON, UingerezaLICHA ya kwamba dirisha dogo halitafunguliwa hadi Januari, mwakani, kwa sasa klabu za soka barani Ulaya zinaruhusiwa kusajili wachezaji huru (waliomaliza mikataba).Makala haya...

Osimhen anavyoibeba Nigeria kufuzu Kombe la Dunia 2026

LAGOS, NigeriaTIMU ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles' imeingia fainali ya hatua ya mtoano (playoffs) ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani...

United imejipata au bado inajitafuta?

MANCHESTER, UingerezaMANCHESTER United chini ya kocha Ruben Amorim iliuanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL).Kati ya mechi sita za mwanzo, ilishinda...

Belouizdad v Singida BS… Ni vita ya makocha wa Yanga tu

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuandika historia ya kufika makundi, sasa Singida Black Stars inawinda rekodi nyingine ya kushinda mechi kwenye hatua hiyo ya...

Nini kinaikwamisha Liverpool, itatetea ubingwa EPL?

MERSEYSIDE, UingerezaLIVERPOOL iko taabani. Vipigo vitano katika mechi 11 walizocheza hivi karibuni. Kwa mujibu wa kocha wake, Arne Slot, bado ni mapema kuitoa Liverpool...

Wanasoka hawa hawajastaafu, wanapiga pesa Qatar

DOHA, QatarLIGI Kuu ya Qatar kwa sasa ni nyumbani kwa mastaa wengi wa soka waliowahi kutamba katika soka la Ulaya wakiwa na klabu mbalimbali,...

JKT Queens na matumaini nusu  fainali CAFWCL mbele ya TP Mazembe

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Baada ya timu ya JKT Queens kutoa sare mbili mfululizo Ligi ya Mabingwa Wanawake Afrika (CAFWCL), bado ina matumaini ya kutinga...

Morice Abraham; Kivuli cha ‘Miquissone’ kinachoipa jeuri Simba

Na Hassan Mwasha, GazetiniKWA siku za hivi karibuni, jina la Morice Abraham limekuwa kwenye mijadala ya soka hapa nchini na kwa sasa ni kipenzi...

Recent articles