Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Joshua, Paul nani kupigwa ‘KO’?

LONDON, UingerezaBAADA ya tetesi nyingi na za muda mrefu, sasa ni rasmi kuwa Anthony Joshua na Jake Paul watapanda ulingoni kurushiana makonde.Ni pambano la...

Haaland na safari yake ya kwanza Kombe la Dunia 2026

MANCHESTER CITY, UingerezaNDOTO imetimia! Mshambuliaji wa kati wa Manchester City, Erling Haaland, atacheza kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia wakati timu yake ya...

Yanga yatua Zanzibar kuisubiri AS FAR Rabat

Na Na Winfrida Mtoi, Gazetini Msafara wa kikosi cha Yanga umetua visiwani Zanzibar kwa maandalizi ya kuikabili AS FAR Rabat ya Morocco katika mchezo wa...

Ukiacha Messi, hawa nao wanakipiga Ligi Kuu ya Marekani

LONDON, UingerezaKWA miaka mingi ya hivi karibuni, Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imekuwa ikipokea wachezaji wenye majina makubwa kutoka katika klabu za barani Ulaya,...

Kocha Nigeria: DRC walitumia uchawi kutufunga

RABAT, MoroccoBAADA ya timu ya soka ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kufungwa na DRC, kocha wake, Eric Chelle, ameibua shutuma nzito dhidi ya...

Mbappe na mabao 400, rekodi kibao Ulaya

MADRID, HispaniaKABLA ya kusajiliwa na Real Madrid, Kylian Mbappe alishafunga mabao 329 na kutwaa mataji 17 katika maisha yake ya soka.Ikumbukwe, Mbappe bado ni...

Yanga v FAR Rabat; Rekodi zinabana, zinaachia

Na Hassan Mwasha, GazetiniYANGA watashuka dimbani wikiendi hii (Novemba 22) kwa mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya...

Mayele aingia tatu Bora Tuzo ya mchezaji Bora Afrika

Na Mwandishi Wetu Nyota wa Pyramids, Fiston Mayele ameingia katika tatu bora ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa  klabu kwa Afrika kwa mwaka...

Simba nje Tuzo za Klabu Bora Afrika

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba imeondolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora Afrika ambapo CAF imetangaza timu tatu zilizoingia fainali ya kuwania...

Amorim sasa amgeukia Anderson

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amewataka mabosi wa klabu hiyo kufanikisha usajili wa kiungo wa Nottingham Forest, Elliot Anderson.Awali, Man United walikuwa...

Beki Arsenal aumia akiwa kikosini Brazil

RIO, BrazilKOCHA wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amesema beki wake, Gabriel, atafanyiwa vipimo baada ya majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya...

Huyu hapa straika anayegombewa Chelsea, Arsenal, United

MADRID, HispaniaJINA la mpachikaji mabao wa Levante, Etta Eyong, si tu linatakisa La Liga, bali pia limeingia kwenye rada za klabu kubwa za Ligi...

Recent articles