Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Hii hapa ratiba ya fainali za EURO 2028

LONDON, UingerezaSHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) limeshatangaza ratiba ya fainali zijazo za Mataifa ya Ulaya, maarufu kwa jina la 'Euro 2028'.Ratiba inaonesha kuwa...

Mashabiki waziponza Al Ahly, Zamalek

CAIRO, MisriVURUGU za mashabiki wa Al Ahly na Zamalek katika 'derby' ya Super Cup zimesababisha klabu hizo kutozwa faini ya LE 100,000 (zaidi ya...

Kane aingia rada za mabosi Barcelona

CATALUNYA, HispaniaMATAJIRI wa klabu ya Barcelona wanaangalia uwezekano wa kuinasa huduma ya mpachikaji mabao wa Bayern Munich, Harry Kane.Mpango wa kumsajili Muingereza huyo umelenga...

Mke amtaka Oscar kuacha soka

RIO, BrazilSTAA wa zamani wa Chelsea, Oscar, huenda akatangaza kutundika daluga kutokana na ushauri wa mkewe na familia.Oscar mwenye umri wa miaka 34, kwa...

Joshua, Paul sasa kuzichapa Desemba

LONDON, UingerezaIMERIPOTIWA kuwa kuna mazungumzo yanayoendelea vizuri kati ya kambi za mabondia Anthony Joshua na Jake Paul.Taarifa zinasema wawili hao watarushiana makonde katika pambano...

JKT Queens yalazimishwa sare, yaisubiri TP Mazembe

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, JKT Queens, wamelazimishwa sare ya bao 1-0...

Simba v Atletico; Pantev ana kwa ana na kocha Barcelona

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI Simba ya kocha Dimitar Pantev dhidi ya Petro Atletico katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Novemba...

Hawa ndiyo AS FAR watakaomenyana na Yanga makundi CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini YANGA wako Kundi B msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo wamepangwa na Al Ahly ya Misri, AS FAR (Morocco)...

Endrick; Alitabiriwa makubwa Brazil, sasa anasugua benchi Madrid

MADRID, HispaniaALIWAHI kutabiriwa kuwa staa mpya wa soka la Brazil, akitajwa kufuata nyayo za mastaa wengi waliwahi kupiga katika ardhi ya nchi hiyo, wakiwamo...

Slot ashauriwa ‘kumpotezea’ Salah

MERSEYSIDE, UingerezaMKONGWE wa Liverpool, Steve Nicol, anaamini ni wakati sasa kwa kocha Arne Slot kuacha kumpa nafasi staa wa timu hiyo, Mohamed Salah.Kwa mujibu...

Wachezaji Nigeria wagomea mazoezi wakidai posho

LAGOS, NigeriaMAANDALIZI ya timu ya soka ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Gabon yameingia mdudu baada ya wachezaji...

Vinicius ataka mshahara wa Mbappe

MADRID, HispaniaKWA mujibu wa kile kilichoripotiwa na Gazeti la Sport la Hispania, Vinicius Jr anataka alipwe mshahara sawa na Kylian Mbappe ili kubaki Real...

Recent articles