Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Rosenior atangazwa kocha mpya Chelsea

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imemtangaza, Liam Rosenior kuwa kocha mpya atakayechukua mikoba ya Enzo Maresca. Rosenior amejiunga na Chelsea akitokea Strasbourg, ambayo pia inamilikiwa na...

Arsenal, City zamgombea beki Newcastle

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal imejitosa kuiwania saini ya beki wa Newcastle United, Tino Livramento, ambaye pia anaitoa udenda Manchester City. Livramento aliibuliwa na 'academy' ya...

Ferdinand ataja kocha mpya United

MANCHESTER, Uingereza NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, anaamini Darren Fletcher anatosha kuibeba timu hiyo baada ya Ruben Amorim kutimuliwa. Amorim amefutwa kazi baada...

Osimhen, Salah watinga robo fainali AFCON 2025

RABAT, Morocco MABAO mawili ya Victor Osimhen yameiwezesha timu ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Msumbiji katika mchezo wa...

Viatu vya Ferguson havivaliki Man United

MANCHESTER, Uingereza HATIMAYE Manchester United wamemfuta kazi Ruben Amorim. Mreno huyo ameondoka akiwa amehudumu kwenye benchi la ufundi kwa miezi 14 pekee tangu alipoajiriwa akitokea...

Manchester United yamfuta kazi Amorim, Fletcher akabidhiwa mikoba

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imethibitisha kuachana na kocha wake mkuu, Ruben Amorim, katika uamuzi uliokuja kwa masikitiko lakini ukilenga maslahi ya baadaye ya...

Stars yang’olewa kibishi AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoshwa kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) lakini gumzo ni...

Kocha Barcelona: Hatukustahili ushindi

CATALUNYA, Hispania KOCHA wa Barcelona, Hans Flick, amedai kuwa timu yake ilionesha kiwango kibovu katika mchezo dhidi ya Espanyol, hivyo haikistahili kupata ushindi wa mabao...

Baleba aingia rada za Liverpool

MERSEYSIDE, Uingereza LIVERPOOL imeungana na Manchester United na Tottenham katika mbio za kumsajili kiungo wa Brighton na timu ya taifa ya Cameroon, Carlos Baleba. Brighton haijakataa...

Chelsea kubeba kocha, kiungo Newcastle

LONDON, Uingereza MABOSI wa Chelsea wameripotiwa kuanza harakati za kumchukua kocha wa Newcastle United, Eddie Howe. Wakati huo huo, taarifa zinaeleza kuwa wanaitaka saini ya kiungo...

Rodri aipasua kichwa Madrid

MADRID, Hispania BADO mabosi wa Real Madrid wanaumiza vichwa juu ya mpango wao wa kuinasa saini ya kiungo wa Manchester City na timu ya taifa...

Saka aifikia rekodi ya Fabregas

LONDON, Uingereza HATIMAYE mshambuliaji wa Arsenal, Bukayo Saka, ameungana na Cesc Fabregas katika orodha ya wachezaji waliochangia mabao mengi ya timu hiyo kwenye historia ya...

Recent articles