Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Ter Stegen ajiandaa kuondoka Barca

CATALUNYA, Hispania MLINDA mlango wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen, atatimka klabuni hapo Januari hii, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Hispania. Kipa huyo raia wa...

Saka asaini miaka mitano Arsenal

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Bukayo Saka, amekubali kuongeza mkataba wa miaka mitano klabuni hapo. Saka, ambaye amekuwa mchezaji muhimu kikosini katika miaka ya hivi karibuni,...

Semenyo kuitumikia Man City wikiendi hii

MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER City imefanikiwa kuinasa saini ya Antoine Semenyo na huenda straika huyo aliyetokea Bournemouth akaanza kuwatumikia matairi hao wa jijini Manchester wikiendi hii. Kwa...

Makocha ‘walioifilisi’ Chelsea baada ya kutimuliwa

LONDON, Uingereza BAADA ya kuvunja mkataba wake, Chelsea wamelazimika kumlipa Enzo Maresca kitita cha Pauni milioni 10, kwa mujibu wa Gazeti la Sun. Kocha huyo raia...

Misri v Ivory Coast; Rekodi zimemaliza kazi mapema

RABAT, Morocco TIMU ya soka ya taifa ya Ivory Coast, ambao ni mabingwa watetezi msimu huu wa fainali za AFCON, dhidi ya Misri inayoongoza kwa...

Algeria v Nigeria … Ni vita ya mabeki, washambuliaji

RABAT, Morocco MATAIFA mawili makubwa katika soka yatavaana Jumamosi hii ya Januari 10, 2026, ukiwa ni mchezo wa robo fainali ya msimu huu wa michuano...

Cameroon v Morocco; Vita ya heshima, rekodi robo fainali AFCON 2025

RABAT, Morocco NI kesho Januari 9, 2026, ambapo ni wazi mashabiki wa timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' watakuwa upande wa Cameroon katika mchezo...

Robo fainali AFCON 2025; Mali, Senegal na ‘derby’ ya kibabe Morocco

RABAT, Morocco NI 'derby' ya majirani wa Afrika ya Magharibi, ukiwa ni mchezo wa robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 inayoendelea nchini Morocco. Mali na...

Huyu ndiye Michael Kuka; shabiki aliyegeuka kivutio AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA umefuatilia kwa karibu mechi zote za msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), basi sura yake si...

Mukwala atua kibabe Zanzibar, Simba ikiivaa Azam kesho Mapinduzi Cup

Na Winfrida Mtoi, Gazetini WAKATI Simba kitarajia kukabiliana na Azam FC kesho katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la Mapinduzi, mshambuliaji wa...

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu kocha mpya Chelsea

LONDON, Uingereza UONGOZI wa Chelsea umemtangaza kocha mpya atakayechukua nafasi ya Enzo Maresca. Anaitwa Liam Rosenior. Je, ni yapi usiyoyajua kuhusu kocha huyo mwenye umri wa...

Mbappe aachwa kikosini Madrid

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI Kylian Mbappe amebaki nyumbani wakati kikosi cha Real Madrid kiliposafiri kwenda Saudi Arabia kwa mchezo wao wa Spanish Super Cup. Madrid watakuwa nchini...

Recent articles