ROMA, Italia
KLABU ya AS Roma imemuweka kwenye rada zake kiungo wa pembeni wa Liverpool raia wa Italia, Federico Chiesa.
Wakati huo huo, nyota huyo anahusishwa...
RABAT, Morocco
PENALTI mbili alizookoa kipa wa Yanga, Djigui Diarra, zimeiwezesha timu yake ya taifa ya Mali kuing'oa Tunisia na kutinga hatua ya robo fainali...
MANCHESTER Uingereza
MANCHESTER City itakuwa nyumbani katika Uwanja wa Etihad kukaribisha Chelsea, mchezo wa Ligi Kuu ya England utakaochezwa wikiendi hii (Januari 5, 2026).
Kwa upande...
AMSTERDAM, Uholanzi
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ghana, Andre Ayew, amejiunga na NAC Breda inayoshiriki Ligi Kuu ya Uholanzi (Eredivisie).
Ayew mwenye umri wa miaka 36, amesaini...
RABAT, Morocco
STRAIKA wa timu ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles', Victor Osimhen, amesema wamejiandaa vizuri kwa mchezo wao wa Jumatatu ya wiki ijayo dhidi...
MERSEYSIDE, Uingereza
BAADA ya suluhu dhidi ya Leeds United katika mchezo wa jana Januari Mosi, 2026, kocha wa Liverpool, Arne Slot, ameelekeza lawama zake kwa...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Chelsea imetangaza rasmi kumfungashia virago kocha wake raia wa Italia, Enzo Maresca, ikielezwa kuwa chanzo ni uhusiano mbaya kati yake na...
LIBREVILLE, Gabon
SERIKALI ya Gabon imetangaza kuvunja benchi la ufundi la timu ya soka ya taifa, ikiwa ni pamoja pia na kumtimua kikosini mshambuliaji wake,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE miezi 12 ya mwaka 2025 imetamatika. Mwaka huu, 2026, una matukio mengi ya kusubiriwa kwa hamu na wapenzi wa michezo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LEO ni Januari Mosi, 2026, tukiwa na miezi 12 ya kuhesabu ili kuumaliza mwaka huu. Mwaka 2025 umekwenda zake. Hata hivyo,...