Ads: info@gazetini.co.tz |
28 C
Dar es Salaam

Michezo

Kwanini wanasoka Ujerumani hawaipati Ballon d’Or?

Munich, UjerumaniMARA ya mwisho kwa mchezaji wa Ujerumani kutwaa tuzo ya Ballon d'Or ni miaka takribani 30 iliyopita. Ni Matthias Sammer aliyeibeba mwaka 1996.Sammer...

Antony apachika bao, aizima Nottingham

SEVILLE, HispaniaBAO la dakika ya 85 la winga wa zamani wa Manchester United, Antony, limeiwezesha Real Betis kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya...

Kidao aondolewa  TFF

Na Mwandishi Wetu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Kidao Wilfred. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo...

Madeuke nje ya uwanja kwa wiki sita

LONDON, UingerezaKOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, atamkosa kwa wiki sita hadi nane winga wake mpya, Noni Madueke, baada ya nyota huyo kupata majeraha ya...

Simbu afichua siri ya ushindi

Na Winfrida Mtoi,Gazetini Bingwa wa Dunia wa mbio za Marathoni za kilomita 42, ambaye ni Askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), Sajenti Alphonce...

Pamba Jiji yaja na mbinu kuimaliza Yanga

Na Winfrida Mtoi Kocha Mkuu wa timu ya Pamba Jiji, Francis Baraza amesema hana presha yoyote kuelekea mchezo wao wa  kesho dhidi yaYanga  kutokana na...

Kocha Simba aaga, arejea Raja Casablanca

Na Mwandishi Wetu Baada ya kutoonekana na timu wakati ikirudi kutoka Botswana ilipokwenda mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United, Kocha Mkuu...

Neville amkosoa Arteta kisa sare ya City

MANCHESTER, UingerezaMKONGWE wa Ligi Kuu ya England, Gary Neville, amemtaka Mikel Arteta kuachana na mbinu zake.Kauli ya beki huyo wa zamani wa Manchester United...

Ricky Hatton: ‘Mtu wa watu’ aliyekutwa amefariki, aacha simanzi ulimwengu wa michezo

LONDON, UingerezaULIMWENGU wa michezo umetikiswa na kifo cha lejendari wa ngumi za uzito wa 'light welter' nchini Uingereza, Ricky Hatton.Kwa mujibu wa polisi wa...

Liverpool na rekodi ya ‘mabao ya jioni’

MERSEYSIDE, UingerezaUSHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Burnley umeifanya Liverpool kuwa timu ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya England (EPL) kushinda mechi...

Mreno atua Kaizer kuchukua mikoba ya Nabi

PRETORIA, Afrika KusiniSAA 72 tu baada ya kumfuta kazi Nasreddine Nabi, mabosi wa Kaizer Chiefs wamemtangaza kocha mpya.Pedro Goncalves, raia wa Ureno mwenye umri...

Recent articles