Ads: info@gazetini.co.tz |
27.9 C
Dar es Salaam

Michezo

Ripoti ya CAG yaibua mazito ujenzi wa uwanja wa AFCON Arusha

Na Mwandishi Wetu RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere imeanika mapungufu katika mchakato wa ununuzi na ujenzi wa...

Huyu ndiye Katibu Mkuu mpya CAF, aanza na rekodi

CAIRO, Misri SAMSON Adamu raia wa Nigeria ndiye aliyeteuliwa kukalia kwa muda kiti cha Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uteuzi wake ndani ya...

United yamtaka Tonali, yampotezea Guimaraes

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imeelekeza nguvu zake kwa Sandro Tonali na kuachana na staa mwenzake wa Newcastle United, Bruno Guimaraes. Hata hivyo, kumshawishi Tonali...

Liverpool kung’oa straika Ureno

MERSEYSIDE, England KINARA wa upachikaji mabao wa Sporting Lisbon ya Ureno, Luis Suarez Charris, ameingia kwenye rada za vigogo wa Ligi Kuu ya England, Liverpool. Liverpool...

Lewandowski kukatwa mshahara Barcelona

CATALUNYA, Hispania MABOSI wa Barcelona wamempa sharti la kukubali kupunguziwa mshahara mshambuliaji wao raia wa Poland, Robert Lewandowski. Ofa waliyofika nayo mezani kwake ni ya mkataba...

Straika wa mabao 17 aibukia Arsenal

LONDON, Uingereza ARSENAL wako mstari wa mbele katika mbio za kuinasa saini ya mshambuliaji tishio wa Ligi Kuu ya Ubelgiji, Nicolo Tresoldi. Nyota huyo wa U-21...

Beckham amtolea uvivu Tuchel

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa timu ya taifa ya England, David Beckham, amesema haelewi sababu ya kocha Thomas Tuchel kutomuita kikosini beki Trent Alexander-Arnold. Tuchel...

Sinner atinga fainali Miami Open

MIAMI, Marekani NYOTA anayeshika nafasi ya pili kwa ubora duniani, Jannik Sinner, ameingia fainali ya michuano ya Miami Open baada ya kumtandika Alexander Zverev. Sinner ameshinda...

Tiger Woods aachiwa kwa dhamana

LOS ANGELES, Marekani STAA wa mchezo wa gofu, Tiger Woods, amerejea uraiani tangu alipokamatwa kwa kesi ya kuendesha gari akiwa amelewa pombe. Woods, bingwa wa dunia...

United kumsajili Torres?

MANCHESTER, Uingereza µ BARCELONA iko tayari kukaa mezani na Manchester United na kujadili dili la mshambuliaji raia wa Hispania, Ferran Torres. Torres aliyewahi kukipiga Manchester City,...

Raphinha ang’olewa kikosini Brazil

RIO, Brazil MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Raphinha, amerejea klabuni hapo akitokea katika kambi ya timu ya taifa ya Brazil. Raphinha amelazimika kurejea Barcelona kwa ajili ya matibabu...

Senegal walifikisha jambo lao CAS

NYON, Uswis MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imekiri kupokea malalamiko ya Shirikisho la Soka la Senegal. FSF wamefikisha ombi la kupinga kile kilichofanywa...

Recent articles