MANCHESTER, Uingereza
MANCHESTER United imetenga kitita cha Pauni milioni 39 ili kufanikisha usajili wa kiungo wa Villarreal, Pape Gueye.
Gueye amekuwa na msimu mzuri, ambapo amefunga...
MERSEYSIDE, Uingereza
KLABU ya Liverpool iko katika hatua nzuri ya kumsainisha mkataba mpya beki wake wa kati raia wa Ufaransa, Ibrahima Konate.
Konate alijiunga na Liverpool...
MANCHESTER, Uingereza
PEP Guardiola na vijana wake wa Manchester City wameandika historia ya aina yake baada ya ushindi wa mabao 4-0 walioupata dhidi ya Liverpool.
Erling...
MADRID, Hispania
NEWCASTLE United imeingia kwenye harakati za kumsajili straika wa Real Madrid, Gonzalo Garcia.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22, amecheza mechi 32 za...
LONDON, Uingereza
KLABU za Manchester City, Liverpool na Chelsea zinapigana vikumbo kuiwania huduma ya beki wa Barcelona raia wa Ufaransa, Jules Kounde.
Kounde alitua Barcelona mwaka...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, amemuonya staa wake, Phil Foden, akimwambia hana uhakika wa kuitwa kwenye kikosi kitakachokwenda Kombe...
LONDON, Uingereza
WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wameanza kuifukuzia saini ya mashambuliaji wa Bayer Leverkusen ya Bundesliga, Christian Kofane.
Arsenal wako kileleni mwa msimamo wa Ligi...
MILAN, Italia
MABINGWA mara nne wa Kombe la Dunia, timu ya taifa ya Italia, imeshindwa kufuzu fainali za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico.
Hii...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester United imeanza kujipanga na maisha mapya bila mlinzi wake wa kati, Harry Maguire.
Ripoti zinaeleza kuwa Man United imejitosa kuiwania saini...
LONDON, Uingereza
KWA mara ya kwanza katika historia, timu ya soka ya taifa ya England imepoteza mchezo mbele ya wapinzani kutoka Bara la Asia.
Ni baada...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKURUGENZI wa ufundi Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu (TAFF), Shaban Msangi ameitembelea timu mpya ya soka kwa...