MEXICO CITY, Mexico
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Neymar, anaweza kuwa fiti kuivaa Scotland katika...
MILAN, Italia
IKIWA ni miaka 11 imepita tangu alipotangaza kustaafu, kiungo wa zamani wa Barcelona, Ronaldinho, amerejea dimbani.
Ronaldinho (46), amesajiliwa na klabu ya Ravenna inayoshiriki...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amegoma kuanika mbinu za kiufundi atakazozitumia katika mchezo wao dhidi ya Yanga.
Timu hizo zitakutana kesho...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
GEITA Gold haijatinga Ligi Kuu Bara kinyonge, na badala yake imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Bara (Championship) ikiwa na...
MANCHESTER, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes, amesema Cristiano Ronaldo hastahili kuwa kiongozi wa safu ya ushambuliaji ya timu ya soka ya...