LAGOS, Nigeria
POLISI nchini Nigeria wanamshikilia Dj maarufu, Chicken, akitajwa kumtishia maisha mtoto wa Rais Bola Tinubu, Seyi.
Kabla ya kukamatwa kwake, Dj Chicken alitumia siku...
NEW YORK, Marekani
MWANAUME mmoja amejiua kwa kujichoma moto nje ya Ofisi za Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York.
Kwa upande wao, wanaharakati wamemtaja mtu...
LOS ANGELES, Marekani
GUMZO kubwa katika tasnia ya burudani nchini Marekani ni ndoa ya bibiye Taylor Swift na mpenzi wake, Travis Kelce, huku mashabiki wa...
CARACAS, Venezuela
MTOTO wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ni miongoni mwa waliookolewa katika operesheni inayoendelea baada ya tetemeko la ardhi lililoikumba Venezuela.
Taarifa za...
LOS ANGELES, Marekani
WHATSAPP ni miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye ushawishi mkubwa, ukitajwa kuwa na watumiaji zaidi ya bilioni tatu duniani kote.
Sasa, imezoeleka kuona...
LOS ANGELES, Marekani
BINADAMU wa kwanza kuwa trilionea, Elon Musk, alisherehekea kutimiza umri wa miaka 56 jana Juni 28, 2026.
Mbali ya kusherehekea kutimiza umri huo,...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
NI mwanamuziki? Ndiyo. Hiyo ndiyo sura yake ya kwanza iliyomtambulisha Baba Levo mbele ya walio wengi.
Achana na maisha binafsi, ambayo ndugu,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu ya pili ya makala haya,tuliona Lungu akipoteza kiti cha urais mbele ya mpinzani wake, Hichilema, ambaye awali alimshinda mara...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA toleo la kwanza lililopita, tuliona Lungu akikaimu urais baada ya Michael Sata kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu....