MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaendesha upelelezi dhidi ya Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte, juu ya madai ya mauaji aliyotekeleza katika operesheni yake...
NI miaka minne imepita tangu alipokuwa uraiani na hatimaye leo mfanyabiashara James Rugemalira ameuacha mlango wa gereza baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)...
SIASA za Afrika Magharibi zimetikiswa na tukio la mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo jeshi la Guinea liliamua kushika hatamu kwa kuipindua Serikali ya Rais...
KESHO jumla ya wanafunzi 1,132,143 wataanza mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi (PSLE) kwa mwaka huu na idadi hiyo inatokana na shule 17,585 zilizoko...
JINA la Hassan Mwakinyo limeendelea kuchukua nafasi yake kwenye mchezo wa ngumi za kulipwa hapa nchini, hasa baada ya kumtwanga bondia wa kimataifa wa...
HIVI karibuni Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, alitua kwa mkopo Royal Antwerp ya Ubelgiji akitokea Fenerbahce ya Ligi Kuu nchini Uturuki.
Ifahamike kuwa Samatta...
HIVI karibuni, siasa za Tanzania zilishuhudia Bunge likiazimia adhabu ya kuwafungia vikao viwili wabunge na makada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Josephat Gwajima...
Kwa mujibu wa Matokeo ya Sensa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Mwaka wa Kilimo 2019/2020 yanaonyesha kuwa, kaya nyingi zilikutana na vikwazo mbalimbali...
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hadi kiufikia Jumamosi Agosti 28, 2021 jumla ya walengwa 304,603 wamepatiwa...