Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Saka aifikia rekodi ya Fabregas

LONDON, Uingereza HATIMAYE mshambuliaji wa Arsenal, Bukayo Saka, ameungana na Cesc Fabregas katika orodha ya wachezaji waliochangia mabao mengi ya timu hiyo kwenye historia ya...

Rekodi ya Obi yavunjwa AFCON 2025

RABAT, Morocco TIMU ya soka ya taifa ya Senegal imetinga robo fainali ya msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) kwa kuifunga...

Chiesa aibukia AS Roma

ROMA, Italia KLABU ya AS Roma imemuweka kwenye rada zake kiungo wa pembeni wa Liverpool raia wa Italia, Federico Chiesa. Wakati huo huo, nyota huyo anahusishwa...

Wakazi Venezuela wakimbilia madukani baada ya Maduro kukamatwa

CARACAS, Venezuela  SAA chache baada ya Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, kukamatwa, Jumamosi Januari 3, 2026, na majeshi ya Marekani, wakazi wa mji mkuu Caracas...

Diarra kiboko, abeba tuzo akitinga robo AFCON

RABAT, Morocco PENALTI mbili alizookoa kipa wa Yanga, Djigui Diarra, zimeiwezesha timu yake ya taifa ya Mali kuing'oa Tunisia na kutinga hatua ya robo fainali...

Marekani yaishambulia Venezuela, yamdaka Maduro

WASHINGTON DC, Marekani RAIS Donald Trump amethibitisha kuwa wanajeshi wake wameishambulia Venezuela na kumkamata kiongozi wa Taifa hilo, Nicolas Maduro. Wakati huo huo, Rais Trump amedai...

Trump atishia kuivamia Iran

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameionya Iran akiiambia ataingilia kati, ikiwamo kuivamia kijeshi, endapo itaendelea kuua waandamanaji. Watu nane wameripotiwa kupoteza maisha kwa...

Man City v Chelsea … Shoo ya kibabe Etihad

MANCHESTER Uingereza MANCHESTER City itakuwa nyumbani katika Uwanja wa Etihad kukaribisha Chelsea, mchezo wa Ligi Kuu ya England utakaochezwa wikiendi hii (Januari 5, 2026). Kwa upande...

Tetemeko la ardhi laua watu wawili Mexico

MEXICO CITY, Mexico WATU wawili wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Kusini mwa Mexico jana Januari 2, 2026. Kwa mujibu wa kile kikichoelezwa...

Dereva wa Joshua ashitakiwa

LAGOS, Nigeria DEREVA, Adeniyi Mobolaji Kayode (46) aliyekuwa akiendesha gari lililopata ajali iliyomjeruhi bondia wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua, amefunguliwa mashitaka. Akiwa Nigeria kwa...

OWM yakabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko Kilosa

KILOSA, Morogoro OFISI ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa, leo Januari 2, 2026, imekabidhi vifaa mbalimbali...

Ayew atua Ligi Kuu ya Uholanzi

AMSTERDAM, Uholanzi MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ghana, Andre Ayew, amejiunga na NAC Breda inayoshiriki Ligi Kuu ya Uholanzi (Eredivisie). Ayew mwenye umri wa miaka 36, amesaini...

Recent articles

spot_img