Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

EU wakanusha Ukraine kuishambulia Urusi

MOSCOW, Urusi UMOJA wa Ulaya (EU) umekanusha madai ya Urusi iliyolalamikia ofisi zake za umma kushambuliwa na vikosi vya Ukraine. Kwa mujibu wa mwanadiplomasia mwandamizi wa...

Stars kumaliza ‘uteja’ kwa Morocco?

Na mwandishi wetu, Gazetini NI JUMAPILI ya wiki hii, Januari 4, 2025. Taifa Stars itakapoumana na Morocco katika mchezo wa hatua ya 16 Bora ya...

Kiongozi wa jeshi atangazwa rais mpya Guinea

Na mwandishi wetu, Gazetini JENERALI wa jeshi, Mamady Doumbouya, ametangazwa kuwa mshindi wa kinyang'anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni nchini Guinea. Kwa mujibu...

Trump, Zelensky watangaza maendeleo ya mazungumzo ya amani

FLORIDA, Marekani RAIS wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky wamesema kuna maendeleo makubwa yamepatikana katika mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine,...

Watu 13 wafariki, zaidi ya 90 wajeruhiwa baada ya treni kuacha njia Mexico

OAXACA, Mexico TAKRIBAN watu 13 wamefariki dunia na wengine karibu 100 kujeruhiwa baada ya treni ya abiria kuacha njia ya reli katika jimbo la Oaxaca,...

Miji inayoongoza kwa mabilionea wengi duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini NEW YORK ndiyo Mji unaoongoza kwa kuwa na mabilionea wengi duniani, kwa mujibu wa Jarida maarufu la Forbes. Mji huo wa...

Kuelekea Uchaguzi Mkuu Uganda 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini UCHAGUZI Mkuu wa Uganda unatarajiwa kufanyika Januari 15, mwakani, ambapo Rais Yoweri Museveni anawania muhula wake wa saba madarakani. Wakati Rais Museveni...

Nani kuvaa viatu vya Guardiola akiondoka City?

MANCHESTER, Uingereza WIKI iliyopita, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, alisema klabu hiyo inapaswa kujiandaa na maisha mapya bila uwepo wake kwenye benchi la ufundi. Mhispania...

Mabondia matajiri zaidi duniani

LOS ANGELES, Marekani UKIWEKA kando soka, masumbwi ni mchezo mwingine unaofuatiliwa zaidi, ukifuatiwa na mpira wa kikapu. Takwimu zinaonesha hivyo. Kutokana na ushawishi wake duniani, mchezo...

Asafiri kwa baiskeli akiifuata AFCON

RABAT, Morocco ILIKUWA ni safari ya umbali mrefu wa kilometa 3,000 akitoka Paris, Ufaransa, hadi nchini Morocco kuzifuata fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...

WHO: Unywaji wa pombe unaua zaidi ya watu 800,000 kila mwaka Barani Ulaya

Na mwandishi wetu, Gazetini UNYWAJI wa pombe unasababisha vifo vya zaidi ya watu 800,000 kila mwaka barani Ulaya, sawa na kifo kimoja kati ya kila...

Jinsi Putin alivyowadhibiti Oligarchs wa Urusi

MOSCOW, Urusi Idadi ya mabilionea nchini Urusi imeongezeka kwa kasi na kufikia kiwango cha juu zaidi, hususan katika kipindi cha vita vya Ukraine. Hata hivyo,...

Recent articles

spot_img