Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Salah aendeleza ubabe England

MERSEYSIDE, Uingereza MOHAMED Salah amekuwa mchezaji pekee wa England aliyefunga na kutoa 'asisti' mara nyingi katika mchezo mmoja, kwa mujibu wa takwimu za tangu msimu...

Bosi EPL avamiwa, ajeruhiwa na majambazi

LONDON, Uingereza ALIYEWAHI kuwa mmiliki wa klabu ya Nottingham Forest ya Ligi Kuu ya England (EPL), Fawaz Al-Hasawi, anaendelea vizuri baada ya kuvamia na kujeruhiwa...

Kocha Harambee Stars ahofia ‘Kundi la Kifo’ AFCON 2027

NAIROBI, Kenya KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Kenya 'Harambee Stars', Benni McCarthy, amesema kupangwa kundi gumu kunaweza kutibua ndoto zao za kufanya...

Waziri wa Nishati adakwa akijaribu kutoroka

KYIV, Ukraine ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Nishati wa Ukraine, German Galushchenko, anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya jaribio lake la kutorokea ughaibuni kugonga mwamba. Galushchenko...

Utafiti: Sekta ya elimu bado janga Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI wa Taasisi ya Afrobarometer Pan-Africa umezitaka Serikali barani Afrika kuwekeza jitihada za kutosha katika elimu, ukiitaja sekta hiyo kuwa ni...

Mambo 10 kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Na mwandishi wetu, Gazetini WAUMINI wa Dini ya Uislam duniani kote wanakaribia kuingia kwenye ibada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Ni ibada ya siku...

Simba yamlilia Ashraf

Na mwandishi wetu, Gazetini UONGOZI wa klabu ya soka ya Simba umeeleza kuguswa kwake na taarifa za kifo cha mwanachama wake maarufu, Is-haka Mukadam. Mukadam, maarufu...

Ndejembi: Urambo, Kaliua zipo tayari kwa uwekezaji wa viwanda

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema wilaya za Urambo na Kaliua mkoani Tabora zipo tayari kupokea uwekezaji, hususan wa viwanda, kutokana...

De Zerbi aitema United, aichagua Spurs

LONDON, Uingereza LICHA ya kuhususishwa na Manchester United, Roberto De Zerbi anavutiwa zaidi na tetesi zinazomuhusisha na Tottenham. De Zerbi, raia wa Italia mwenye umri wa...

Aliyekimbia polisi miaka 16 akamatwa, Olimpiki yamponza

MILAN, Italia MWANAUME raia wa Slovakia ameangukia mikononi mwa polisi mjini Milan, Italia, baada ya miaka 16 ya kujificha akikwepa kukamatwa. Mtu huyo anayetajwa kuwa na...

Morocco kutumia Bil. 858/- kukabiliana na mafuriko

CASABLANCA, Morocco SERIKALI ya Morocco imepanga kutumia kiasi cha Dola milioni 330 (zaidi ya Sh bil. 858 za Tanzania) kukabiliana na uharibifu uliosababishwa na mafuriko. Hatua...

Merkel akanusha kutaka urais Ujerumani

MUNICH, Ujerumani OFISI ya aliyekuwa Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, imekanusha taarifa zinazodai kuwa mwanamama huyo atagombea kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu ujao. Kuelekea Uchaguzi...

Recent articles

spot_img