Ads: info@gazetini.co.tz |
30.3 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Hawa hapa mastaa wapya Arsenal

LONDON, Uingereza MAPEMA tu! Kwa taarifa yako, Arsenal wameashaanza mipango ya kuutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao (2026-27). Wakati huu fainali za...

Tunisia ya Herve Renard kuishangaza dunia?

MEXICO CITY, Mexico BAADA ya kumtimua Sabri Lamouchi, timu ya soka ya Taifa ya Tunisia iko chini ya kocha maarufu raia wa Ufaransa, Herve Renard. Lamouchi...

Serikali yawekeza Sh Bilioni 10.5 kuimarisha umeme wilaya tano

Na mwandishi wetu, Gazetini WANANCHI wa Wilaya za Gairo, Mpwapwa, Kongwa, Chamwino na Kiteto wanatarajiwa kunufaika na huduma ya umeme wa uhakika zaidi kufuatia kukamilika...

Mkenda: Hakuna mtoto atakayeachwa nyuma katika elimu

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha hakuna mtoto anayekosa haki ya kupata elimu, ikiwemo...

Mama amtoa machozi kipa wa Cape Verde

NEW YORK, Marekani MLINDA mlango wa timu ya soka ya Cape Verde, Vozinha, amesema kutokuwepo uwanjani kwa mama yake ndiyo sababu ya kilio chake baada...

Unajua kwa nini huajiriwi licha ya ‘interview’ nyingi?

Na Hassan Mwasha, Gazetini UNAJIULIZA kwanini hujapigiwa simu ya kuitwa kazini licha ya kuhisi ulifanya vizuri Siku ya usahili (interview)? Tulia. Huenda tatizo si uwezo wako...

Hofu iliyobaki baada ya Marekani, Iran kumaliza vita

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameitangazia dunia kumalizika kwa vita vyao na Iran vilivyodumu kwa siku zaidi ya 100 huko Mashariki ya...

Utajiri wa Musk unatosha kila mtu duniani kupewa 300,000/-

LOS ANGELES, Marekani ACHANA na milionea. Sahau pia kuhusu bilionea. Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk, amekuwa trilionea kwa kwanza hapa duniani. Musk amefikia hadhi hiyo...

Ancelotti afunguka kilichoiponza Brazil kwa Morocco

NEW YORK, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amesema sare ya bao 1-1 waliyoipata mbele ya Morocco ilitokana na...

Mtazamo wangu kuhusu uteuzi wa Haji Manara kwa soka la Tanzania

Na Hassan Mwasha Gazetini WIKI kadhaa zilizopita Ofisa habari wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Haji Manara, ameteuliwa na Waziri wa Habari, Sanaa,...

Mjamzito anusurika kuuawa na tembo

Na Malima Lubasha, Gazetini- Serengeti MWANAMKE mmoja mjamzito, Bhoke Mahumo (28), mkazi wa Kijiji cha Mbirikili, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amenusurika kufa baada ya...

Siri ugomvi wa Van Gaal, Di Maria wakiwa Old Trafford

MANCHESTER, Uingereza ANGEL di Maria alitua Manchester United mwaka 2014 akitokea Real Madrid, usajili wake wa Pauni milioni 59.7 ukivunja rekodi katika soka la Uingereza. Chanzo...

Recent articles

spot_img