Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Kocha Newcastle mbioni kutimuliwa

LONDON, Uingereza IKIWA ni miaka minne tangu alipoajiriwa Novemba 2021, kocha Eddie Howe ameingia kwenye hatari ya kufungashiwa virago katika klabu ya Newcastle United. Newcastle imekuwa...

Utafiti: Kulala bila kuzima taa chanzo shambulio la moyo, kiharusi

Na mwandishi wetu, Gazetini WAPO waliozoea kulala wakiwa wamewasha taa zao za ndani nyakati za usiku, bila kufahamu kuwa inaweza kuwasabashia shambulio la moyo au...

Tajiri Saudia kuinunua Barcelona

CATALUNYA, Hispania MWANAMFALME wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ametenga kitita cha euro bilioni 10 ili kuinunua klabu ya Barcelona. Aliyefichua mpango huo ni mwandishi wa...

Mabosi wa Messi wamsajili beki Tottenham

MIAMI, Marekani INTER Miami ya Marekani imemsajili mlinzi wa kushoto wa zamani wa Tottenham na Real Madrid, Sergio Reguilon, akiwa mchezaji huru. Reguilon mwenye umri wa...

Jimmy Lai; Mwanaharakati, bilionea anayesubiri kifungo cha maisha

BEIJING, China MWANAHARAKATI wa demokrasia wa Hong Kong, Jimmy Lai, atahukumiwa kifungo cha maisha gerezani endapo atakutwa na hatia katika mashitaka yanayomkabili. Lai (78), anashutumiwa kwa...

Miji inayoongoza kwa mishahara minono duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI wa Deutsche Bank umefuatilia maisha ya miji 69 duniani na kubaini tofauti iliyopo katika mishahara wanayolipwa wafanyakazi kila mwezi. Aidha,...

Simulizi za AFCON (2): Basi la wachezaji Togo latekwa, watatu wauawa

LOME, Togo ILIKUWA ni mwaka 2010, ambapo kikundi cha watu wenye silaha za kivita kililiteka basi la wachezaji wa timu ya taifa ya Togo. Ilikuwaje? Ni...

Simulizi za AFCON (1): Drogba na waasi wa Ivory Coast

ABIDJAN, Ivory Coast AKIWA kwenye kiwango cha juu na mafanikio makubwa ya soka, wakati huo akiitumikia Chelsea, Didier Drogba, alijitosa katika vita ya wenyewe kwa...

Dhana potofu juu ya saratani ya mapafu

Na mwandishi wetu, Gazetini SARATANI ya mapafu ni miongoni mwa magonjwa tishio ulimwenguni, ukitajwa kusababisha vifo zaidi ya milioni 1.8 kwa mwaka. Takwimu hizo ni za...

Utafiti: Unapenda nyama? Soma hii…

Na mwandishi wetu, Gazetini LICHA ya kupendwa zaidi na wakati mwingine kuonekana ni kipimo cha ufahari, ulaji wa myama za kuku, nguruwe na ng'ombe huweza...

Usiyoyajua kuhusu Mapinduzi Cup 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini MSIMU huu wa Kombe la Mapinduzi umekuja na sura mpya, kubwa ikiwa ni ongezeko la Shilingi milioni 50 katika zawadi ya...

Amorim, Mainoo kukutana mezani

MANCHESTER, England KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema atakutana kwenye meza ya mazungumzo na kiungo wa timu hiyo, Kobbie Mainoo. Amorim anataka kuzungumza na kinda...

Recent articles

spot_img