Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Glasner kocha mpya Chelsea?

LONDON, Uingereza KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, amekiri kuwa amepoteza ushawishi mbele ya mabosi wa klabu hiyo ya Magharibi mwa Jiji la London. Baada ya...

Kozi ngumu, zenye mishahara mikubwa

Na mwandishi wetu, Gazetini "UVUMILIVU ni mchungu lakini matunda yake ni matamu." Ni msemo unaotafsiri maisha mazuri wanayoishi waajiriwa baada ya mateso ya 'kozi' ngumu...

Madrid yamtaka Dalot wa United

MANCHESTER, Uingereza REAL Madrid wameripotiwa kuanza kuihangaikia saini ya beki wa Manchester United, Diogo Dalot, na watajaribu kumsajili ifikapo mwakani. Dalot ameshacheza mechi 224 akiwa na...

Rekodi hii kutimua kocha Tottenham?

LONDON, Uingereza KICHAPO cha mabao 3-0 kutoka kwa Nottingham Forest kimeiacha Tottenham ikiwa na pointi 22 pekee katika mechi 16 za msimu huu wa Ligi...

Wolves yaifanyia ‘kitu mbaya’ Arsenal

LONDON, Uingereza LICHA ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Wolves, Arsenal walilazimika kusubiri hadi dakika ya 66 kupiga shuti lililolenga lango la wapinzani wao...

Kane aiokoa Bayern kwa ‘bao la jioni’

MUNICH, Ujerumani BAO la dakika ya 87 la Harry Kane limeiwezesha Bayern Munich kuambulia sare ya mabao 2-2 ikiwa nyumbani dhidi ya Mainz katika mchezo...

Wanajeshi sita wa UN wauawa Sudan

DARFUR, Sudan UMOJA wa Mataifa (UN) umethibitisha kuuawa kwa wanajeshi wake sita wanaolinda amani nchini Sudan wakati huu wa machafuko. Kwa mujibu wa taarifa ya UN...

Utafiti: Ni hatari watoto kuachiwa ‘smartphone’

Na mwandishi wetu, Gazetini HUKU ikionekana kuwa ni kwenda na wakati, utamaduni wa watoto kuachiwa 'simu-janja' (smartphone) una madhara mkubwa kwao, utafiti wa hivi karibuni...

Yanga ilivyofunga kibabe mwaka 2025

Na Hassan Mwasha, Gazetini YANGA haitaonekana uwanjani hadi mwakani. Ikimaanisha, 'Timu ya Wananchi' imeshafunga ukurasa wake kwa mwaka 2025. Katika makala haya, Gazetini inakuibulia uchambuzi...

Simba na mwendo wa kiume 2025

Na Hassan Mwasha, Gazetini HAIKUWA rahisi. Simba imemaliza mechi zake za mwaka 2025 na sasa haitaonekana uwanjani hadi mwakani. Ilikuwa ni safari ndefu kweli kweli....

Martinez kuziba pengo la Lewandowski?

MILAN, Italia MSHAMBULIAJI wa kati wa Inter Milan, Lautaro Martinez, ameonesha kuvutiwa na mpango wa kwenda kuziba pengo la Robert Lewandowski. Barcelona wameripotiwa kuanza kusaka mbadala...

UNICEF: Kipindupindu kimeua watoto 340 DRC

KINSHASA, DRC SHIRIKA la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limeeleza kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inapitia kipindi kigumu zaidi kuwahi kutokea kutokana...

Recent articles

spot_img