Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Simulizi za AFCON (7): Mechi moja Stars yatimua kocha

DAR ES SALAAM, Tanzania KATIKA fainali za Mataifa ya Afrika msimu uliopita, 2024, Taifa Stars ilikuwa sehemu ya timu zilizokuwa gumzo kwa kiasi fulani kwenye...

Alidumu siku 80 tu Yanga, sasa shujaa wa Mali akielekea AFCON

Na mwandishi wetu, Gazetini MALI ni moja ya mataifa 24 yatakayokuwa nchini Morocco kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazoanza...

Ban Ki-moon: Ni wakati wa mageuzi UN kutatua migogoro ya Dunia

NEW YORK, Marekani TASWIRA iliyojitokeza jijini New York, ndani ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, inakumbusha nyakati ambazo hazijapita sana, lakini ambazo sasa zinajionyesha...

WSL nako kumechangamka, Man City haishikiki

LONDON, Uingereza BAADA ya kila timu kucheza mechi 11 msimu huu, Manchester City iko kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya England (WSL),...

Simba yaja kidigitali, jezi sasa kuuzwa kwa simu

Na mwandishi wetu, Gazetini USHINDWE wewe tu! Sasa mashabiki na wanachama wa Simba wanaweza kupata jezi zao kidigitali, hata kupitia simu zao za mkononi. Wakati huo...

Simulizi za AFCON (5): Refa aliyemaliza mpira mara mbili

TUNIS, Tunisia INAKUWAJE rahisi kulisahau jina la Janny Sikazwe katika historia ya michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON)? Ni ngumu. Katika mechi ya hatua ya makundi...

Simulizi ya AFCON (4): Ebola yatikisa, Morocco yajitoa

RABAT, Morocco HISTORIA inaturudisha mwaka 2015. Morocco ikiwa inatarajiwa kuwa mwenyeji, iliomba kuhairisha michuano hiyo kutokana na hofu ya kuingiziwa maambukizi ya ugonjwa wa Ebola. Ni...

Trump aomba mwanaharakati aachiwe

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amemtaka mwenzake wa China, Xi Jinping, kumwachia huru mwanaharakati wa demokrasia mjini Hong Kong, Jimmy Lai. Lai, ambaye...

Maria Carey kutumbuiza Olimpiki

LOS ANGELES, Marekani MWANAMUZIKI ambaye pia ni mshindi mara tano wa tuzo za Grammy, Mariah Carey, atakuwa miongoni mwa watumbuizaji wakati wa hafla ya ufunguzi...

Simulizi za AFCON (3): Ajali ya ndege yaua wachezaji Zambia

NDOLA, Zambia MASHABIKI wa soka nchini Zambia wataendelea kuitunza kwenye kumbukumbu zao Aprili 27, 1993. Ilikuwaje siku hiyo? Endelea kusoma. Siku hiyo, wachezaji wa timu ya...

Sterling kutimkia Leeds au Palace

LONDON, Uingereza HUENDA kiungo wa pembeni wa Chelsea, Raheem Sterling, akaondoka klabuni hapo na kujiunga na Leeds United au Crystal Palace za Ligi Kuu ya...

Timu hizi zitashangaza wengi AFCON 2025

CAIRO, Misri FAINALI za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi Desemba 21, mwaka huu. Zitafanyika nchini Morocco. Kati ya timu...

Recent articles

spot_img