Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Vunjabei, Sara kuisaka heshima ya Tanzania One ulingoni

Na Winfrida Mtoi MABONDIA wa ngumi za kulipwa, Halima Ramadhani maarufu Vunjabei na Sara Alex wanatarajia kupanda ulingoni Machi 21, 2026 kusaka heshima ya Tanzania...

Mufti asisitiza upendo, kupuuza wanaoeneza chuki

Na mwandishi wetu, Gazetini MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametoa rai dhidi ya vitendo vya kueneza chuki za kidini...

Aucho asimamishwa Singida Bs kwa utovu wa nidhamu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KIUNGO Khalid Aucho amesimamishwa kwa miezi mitatu na klabu yake ya Singida Black Stars kwa kosa la utovu wa nidhamu na...

Wapinzania wa Simba, Yanga Kombe la Shirikisho hatua 32

Na Winfrida Mtoi DROO ya hatua ya 32 wa Kombe la Shirikisho  msimu wa 2025/26, imefanyika leo Februari 24, 2026 ambapo Simba imepangwa  dhidi ya...

Rais Samia azindua jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Na Mwandishi Wetu,Gazetini AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 24, 2026, amezindua jengo la Makao Makuu...

Dk. Mwigulu ajadiliana na Kamati ya Maandalizi AFCON 2027

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amekutana na  Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa...

Coastal Union yawatembezea kichapo maafande

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Coastal Union imetembeza kichapo cha mabao 4-1 kwa maafande wa Magereza Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Mnyama Simba hasira zote kwa KMC kesho

 Na Winfrida Mtoi, Gazetini KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Steve Barker ameweka wazi kuwa hakuna mechi rahisi ya Ligi Kuu, lakini wamejipanga kuhakikisha wanachukua...

Gamondi anasubiriwa yeye tu kusaini mkataba rasmi, kukabidhiwa Stars mazima

Na Winfrida Mtoi, Gazetini WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa muda wowote, kocha Miguel Gamondi atasaini rasmi mkataba wa kuifundisha...

Simba yaandika barua Polisi ikiomba waliomkashfu MO washughulikiwe

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KLABU ya Simba imeliandikia barua Jeshi la Polisi  ili kuwachukulia hatua za kisheria wanachama na mashabiki wa klabu hiyo  waliohusika...

Serikali yaendelea na maandalizi ujenzi reli ya Kusini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi...

Dk. Mwigulu: Serikali kununua matrekta 10,000 kuinua kilimo

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za...

Recent articles

spot_img