Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Enzo atamani kutimkia Real Madrid

LONDON, Uingereza KIUNGO wa Chelsea, Enzo Fernandez, inaelezwa kuwa ni ndoto yake kubwa kujiunga na vigogo wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Real Madrid. Taarifa...

Barcelona yawatega Bastoni, Alvarez

CATALUNYA, Hispania BARCELONA imewaweka kwenye rada zake mastaa wakubwa wawili, beki Alessandro Bastoni na mshambuliaji Julian Alvarez. Bastoni wa Inter Milan anatakiwa kwenda kuziba pengo la...

Zidane na mzigo wa kuinoa Ufaransa

PARIS, Ufaransa INAELEZWA kuwa Zinedine Zidane 'Zizou' amefikia makubaliano ya kuinoa timu ya taifa ya Ufaransa na ataanza kazi hiyo baada ya fainali za Kombe...

Unaweka pesa benki ili ‘utoboe’? Soma hapa

Na Benjamin Madaha WAFANYABIASHARA, waajiriwa na vijana wanaojitafuta - kuna ukweli mgumu kidogo kwenye elimu ya fedha ambao watu wengi hawafundishwi. Akaunti yako ya kuhifadhi...

Kama Senegal, timu hizi nazo zilipokonywa ubingwa

LONDON, Uingereza HABARI kubwa iliyotikisa soka la Afrika ni timu ya taifa ya Senegal kuvuliwa ubingwa wa fainali za AFCON zilizomalizika miezi michache iliyopita. Na badala...

Pete Hegseth: Mtaalamu wa vita anayempa jeuri Donald Trump

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA sasa ndiye 'Katibu wa Vita', jina ambalo amepewa na Rais Donald Trump. Kiuhalisia, Pete Hegseth ni Katibu wa Wizara ya...

HaloPesa yawawezesha mahitaji ya Sikukuu wakazi wa Visiga

Na Iman Nathaniel, Gazetini KUELEKEA sikukuu ya Eid El Fitr, Kampuni ya Halotel kupitia HaloPesa imetoa msaada wa mahitaji muhimu kwa familia zaidi ya 60...

Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ,Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026, katika makazi yake,...

Ratiba ya kumbukizi ya miaka mitano kifo cha Hayati Magufuli

Na Mwandishi Wetu FAMILIA ya Hayati John Pombe Magufuli imetangaza rasmi ratiba ya kumbukizi ya miaka mitano tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya...

Mwili wa Mwanahabari Mkongwe Makaranga waagwa Dar, kuzikwa Mwanza

Na Mwandishi Wetu WAANDISHI wa Habari, Wahariri, ndugu na jamaa leo Machi 10, 2026, wamejumuika pamoja katika ibada ya kuaga mwili wa Mhariri Mkongwe, Revocatus...

‘Makomandoo’ wazitia hasara Simba na Yanga

Na Mwandishi Wetu,Gazetini KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini ta sh.5,000,000 kila moja kwa kosa la walinzi wake kugombana na kutoleana lugha za matusi...

Mwamuzi aliyekataa bao la Simba Zanzibar afungiwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MWAMUZI Kassim Mpanga Mpanga wa Dar es Salaam, amefungiwa miezi sita  kosa la kukataa bao halali la Simba wakati wa mchezo...

Recent articles

spot_img