Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo Februari 2, 2026 kwenda Dubai, Falme za Kiarabu, ambapo anatarajiwa kushiriki katika uzinduzi wa...
Na Mwandishi Wetu. Gazetini
MAKAMU wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi ametoa rai kwa Majaji na Mahakimu nchini kuwa uhuru wa Mahakama usitumike kama sehemu ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema umesikitishwa na kitendo cha vurugu alichofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu na mashabiki...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiashara wa vyakula nchini kuacha kuwaumiza wananchi katika kipindi cha mfungo wa Ramadhani na Kwaresma...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limeufungia uwanja wa KMC, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam kutumika kwa mechi za Ligi kutokana...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi Dodoma ili kusogeza huduma karibu na...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
WANANCHI Yanga wameichakaza timu ya Mashujaa mabao 6-0, huku nyota mpya wa kikosi hicho Laurindo Aurelio maarufu Depu akitupia bao moja...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dk....
Na Mwandishi Wetu
WATU wawili wamejeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea leo Januari 16,2025 katika jengo la NSSF lililopo katika mtaa wa Azikiwe na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema serikali imejizatiti kuhakikisha sekta ya uchukuzi inaimarika ili kuliweka Taifa kwenye nafasi...