Ads: info@gazetini.co.tz |
23.4 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Ugonjwa unaomtesa Lil Wayne

NEW YORK, Marekani TAHARUKI imezuka juu ya hali ya afya ya rapa maarufu wa Marekani, Lil Wayne, ambaye inaelezwa kuwa staa huyo hayuko sawa. Hivi karibuni,...

United watajiwa dau la Guimaraes

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United italazimika kuweka mezani kitita cha Pauni milioni 60.5 ili kukamilisha usajili wa kiungo wa Newcastle United, Bruno Guimaraes. Man United...

Enzo atamani kutimkia Real Madrid

LONDON, Uingereza KIUNGO wa Chelsea, Enzo Fernandez, inaelezwa kuwa ni ndoto yake kubwa kujiunga na vigogo wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Real Madrid. Taarifa...

Barcelona yawatega Bastoni, Alvarez

CATALUNYA, Hispania BARCELONA imewaweka kwenye rada zake mastaa wakubwa wawili, beki Alessandro Bastoni na mshambuliaji Julian Alvarez. Bastoni wa Inter Milan anatakiwa kwenda kuziba pengo la...

Zidane na mzigo wa kuinoa Ufaransa

PARIS, Ufaransa INAELEZWA kuwa Zinedine Zidane 'Zizou' amefikia makubaliano ya kuinoa timu ya taifa ya Ufaransa na ataanza kazi hiyo baada ya fainali za Kombe...

Unaweka pesa benki ili ‘utoboe’? Soma hapa

Na Benjamin Madaha WAFANYABIASHARA, waajiriwa na vijana wanaojitafuta - kuna ukweli mgumu kidogo kwenye elimu ya fedha ambao watu wengi hawafundishwi. Akaunti yako ya kuhifadhi...

Kama Senegal, timu hizi nazo zilipokonywa ubingwa

LONDON, Uingereza HABARI kubwa iliyotikisa soka la Afrika ni timu ya taifa ya Senegal kuvuliwa ubingwa wa fainali za AFCON zilizomalizika miezi michache iliyopita. Na badala...

Pete Hegseth: Mtaalamu wa vita anayempa jeuri Donald Trump

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA sasa ndiye 'Katibu wa Vita', jina ambalo amepewa na Rais Donald Trump. Kiuhalisia, Pete Hegseth ni Katibu wa Wizara ya...

AGENDA yahimiza mapinduzi ya uhifadhi misitu Tanzania, uharibifu wazidi…

Na mwandishi wetu, Gazetini MACHI 21 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Misitu Duniani kwa lengo la kuhamasisha jamii kutambua mchango mkubwa wa misitu katika...

Mambo hayaendi! Rosenior kazi anayo pale Stamford Bridge

LONDON, Uingereza KICHAPO cha mabao 3-0 kutoka kwa Everton kimeendeleza wimbi baya linaloiyumbisha Chelsea.Kabla ya kupoteza mchezo huo wa Ligi Kuu, Blues iliondoshwa kwenye michuano...

Gattuso kuirejesha Italia fainali za Kombe la Dunia?

LONDON, Uingereza TANGU walipotwaa ubingwa mwaka 2006, timu ya taifa ya Italia haijavuka hatua ya makundi katika fainali za Kombe la Dunia. Na badala yake, imeishia...

Dk. Yonazi ateta na bosi mpya TACAIDS, Tanzania yaendelea kudhibiti UKWIMWI

Na mwandishi wetu, Gazetini Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dk. Jim Yonazi, amekutana na kufanya...