DARFUR, Sudan
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kutokea kwa shambulio jingine dhidi ya huduma za afya nchini Sudan, safari hii likilenga Hospitali ya Kufundishia...
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
SHERIA ya Tanzania haitambui kila kifo cha mtoto tumboni kama murder. Ili kosa la murder lisimame, lazima marehemu awe ametambulika...
Na mwandihi wetu, Gazetini
WAKATI Dunia leo Machi 22, 2026 ikiadhimisha Siku ya Maji, Muungano wa Afrika (AU) umeweka wazi dhamira yake ya kuhamisha mjadala...
Na mwandishi maalum, Gazetini
IBADA ya kuadhimisha miaka 42 tangu kuanzishwa kwa Shincheonji Kanisa la Yesu imefanyika Machi 15 katika Kanisa la Cheongju, Korea Kusini,...
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
KWA mujibu wa kifungu cha 15, mtoto aliye chini ya umri wa miaka 18 hawezi kushikiliwa kikamilifu kwa adhabu zinazohusiana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, amewahimiza watumishi wa ofisi hiyo kuongeza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA jitihada za kulinda mustakabali wa mazingira na vyanzo vya maji, wadau wa mazingira wakishirikiana na jamii ya Moshi wameanzisha kampeni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kivutio kikubwa cha uwekezaji wa kimataifa katika sekta ya madini, baada ya kuorodheshwa miongoni mwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Baadhi ya Waislamu wa Afrika Mashariki wanaadhimisha Eid-ul-Fitr leo Ijumaa baada ya kuthibitishwa kuonekana kwa mwezi jioni ya Alhamisi, tukio linaloashiria...
Na Iman Nathaniel, Gazetini
KUELEKEA sikukuu ya Eid El Fitr, Kampuni ya Halotel kupitia HaloPesa imetoa msaada wa mahitaji muhimu kwa familia zaidi ya 60...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TIMU ya taifa ya Morocco imetangazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) kufuatia uamuzi wa Shirikisho la...
Washington, D.C.
MKUU wa Kituo cha Taifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani, Joseph Kent, amejiuzulu wadhifa wake akipinga vikali vita vinavyoendelea dhidi ya Iran,...