Ads: info@gazetini.co.tz |
23 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Ibrahimovic: Haaland? Hajafikia uwezo wangu

NEW YORK, Marekani MKONGWE wa timu ya soka ya Taifa ya Sweden, Zlatan Ibrahimovic, amejitaja kuwa mshambuliaji bora kuliko Erling Haaland wa Manchester City. Akihojiwa na...

Michel Soro: Bondia aliyemnyima Mwakinyo ubingwa wa IBO

Na mwandishi wetu, Gazetini AKIWA ugenini nchini Ivory Coast, bondia wa uzito wa Middle nchini, Hassan Mwakinyo, alishindwa kutwaa ubingwa wa dunia wa IBO baada...

Dar yaimarisha utayari dhidi ya mafuriko

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Taasisi ya OpenMap Development Tanzania (OMDTZ) imechukua hatua mpya za kuimarisha utayari...

Liverpool yamfukuzia beki Korea ya Kusini

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Liverpool imeanza harakati za kumsajili beki wa timu ya Taifa ya Korea ya Kusini, Lee Han-beom, ambaye pia anawindwa na Chelsea. Nyota...

Newcastle hesabu zote kwa kipa Man City

LONDON, Uingereza KLABU ya Newcastle United iko mstari wa mbele katika mbio za kumsajili mlinda mlango wa Manchester City raia wa England, James Trafford. Newcastle imemuongeza...

Bayern yamsubiri Rashford, United yakubali kumwachia

MUNICH, Ujerumani KLABU ya Bayern Munich inaamini itafanikisha mpango wake wa kuinasa huduma ya kiungo wa pembeni wa Manchester United aliyemaliza mkopo wake Barcelona, Marcus...

Silva apewa miaka miwili Real Madrid

MADRID, Hispania REAL Madrid wako kwenye hatua nzuri ya kukamilisha dili la lejendari wa Manchester City, Bernardo Silva, akitarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na...

Marekani waanza kibabe, bao lao lavunja rekodi ya miaka 20

LOS ANGELES, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Marekani imeanza na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Paraguay katika mechi ya Kundi D msimu...

Shakira na mkasa wa kudaiwa na ‘ex’ wake bil. 263/-

BOGOTA, Colombia JINA la Shakira si geni kwa wapenzi wa muziki duniani. Ni mrembo mzaliwa wa Colombia, ambaye hivi karibuni alitumbuiza katika hafla ya ufunguzi...

Partey azuiwa kuingia Canada, kukosa mechi ya kwanza ya Ghana

TORONTO, Canada KIUNGO Thomas Partey atakosekana wakati timu ya Taifa ya Ghana itakapocheza mechi ya kwanza ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Ni baada ya...

Kumbe wanamuziki hawalipwi kutumbuiza Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico KUTUMBUIZA katika ufunguzi wa Kombe la Dunia, kama walivyofanya Shakira na Burna Boy, kunaweza kutafsiriwa kuwa ni dili linalowapa pesa nyingi wanamuziki...

UN: Watu milioni 118 wamekimbia makazi yao

NEW YORK, Marekani KATIKA ripoti yake ya hivi karibuni, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limeeleza kuwa watu milioni 118 walikimbia makazi...