Ads: info@gazetini.co.tz |
21.9 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mexico ya kwanza kuvuka makundi

MEXICO CITY, Mexico MEXICO imekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya 32 Bora ya msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia. Mexico ikiwa Kundi A,...

Scholes: Ronaldo wa sasa labda acheze kipa

MANCHESTER, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes, amesema Cristiano Ronaldo hastahili kuwa kiongozi wa safu ya ushambuliaji ya timu ya soka ya...

Bongo Fleva v Ushetani: Nicki Minaj amegusa walipopita V Money, BillNass

Na Hassan Mwasha, Gazetini HIVI karibuni, rapa wa Marekani, Nicki Minaj, alitoa kauli tata kuhusu soko la muziki, akisema limejaa vishawishi vinavyoweza kukutoa kwenye imani...

Baba yake Kim Kardashian alivyobadili jinsia na kuwa mwanamke

LOS ANGELES, Marekani OKTOBA 28,1976, dunia ilikuwa ikimtazama mwanaume aitwaye Bruce Jenner akitwaa medali ya dhahabu katika michuano ya Olimipiki kwa upande wa mchezo wenye...

Missy Elliott: Safari ya ustaa na baba alivyotaka kumpiga risasi

LOS ANGELES, Marekani JINA lake ni Melissa Arnette lakini wapenzi wa muziki wa R&B na Hip hop, hasa katika miaka ya 1990, wanamfahamu kwa jina...

Afrika Kusini ilivyogeuka ya moto kwa wageni

PRETORIA, Afrika Kusini AFRIKA Kusini ina wahamiaji zaidi ya milioni tatu, sawa na asilimia 5 ya watu wote nchini humo, wengi wakitokea nchi za Kusini,...

Usiyoyajua kuhusu rapa aliyehukumiwa jela miaka 20

TEXAS, Marekani WIKI hii imekuwa mbaya kwa mashabiki wa rapa Michael Lawrence Tyler maarufu kama Mystikal baada ya staa huyo kuhukumiwa kifungo cha miaka 20...

Dili zinazotolewa macho usajili wa kiangazi Ulaya

LONDON, Uingereza WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia zikiendelea, klabu za soka, zikiwamo za Ligi Kuu ya England (EPL) zimeanza kujipanga kwa ajili ya...

Kocha: Ronaldo aachwe…

HOUSTON, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Roberto Martinez, haoni kama ni sahihi kwa nahodha wake, Cristiano Ronaldo, kukosolewa baada ya...

Lionel Messi agoma…

NEW YORK, Marekani NAHODHA wa kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema alijikuta akilia baada ya kufunga bao la kwanza...

Makocha waliotimuliwa mapema Kombe la Dunia

NEW YORK, Marekani BAADA ya kufukuzwa katika benchi la ufundi la timu ya soka ya Tunisia, Sabri Lamouchi hajawa kocha wa kwanza kutimuliwa mapema katika...

Kombe la Dunia 2026: Ufaransa ilivyokomesha mazoea ya Afrika

NEW YORK, Marekani MABAO mawili ya Kylian Mbappe na moja la Bradley Barcola yalitosha kuipa timu ya soka ya Ufaransa ushindi wa 3-1 dhidi ya...