Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Pirlo anukia ukocha Italia

MILAN, Italia MKONGWE wa klabu ya AC Milan, Andrea Pirlo, anakaribia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Kwa mujibu wa...

Mkongwe Arsenal apata ulaji Ujerumani

MUNICH, Ujerumani BEKI wa kati wa zamani wa Arsenal, Per Mertesacker, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Chama cha Soka cha Ujerumani (DFB). Mertesacker mwenye umri...

Chris Brown anukia jela miaka mitatu

LOS ANGELES, Marekani SUPASTAA wa muziki wa R&B, Chris Brown, amekutwa na hatia katika kesi ya kumshambulia mtu kwenye ukumbi wa starehe nyakati za usiku. Brown...

Tanzania yaidhinisha ombi la Sh trilioni 1.5 kupambana na UKIMWI…

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMATI ya Kitaifa ya Kuratibu na Kusimamia Fedha za Mfuko wa Dunia nchini Tanzania (TNCM) imeidhinisha rasmi ombi la Tanzania la...

Nini kiliwakutanisha Trump, Rais wa Lebanon?

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Lebanon, Joseph Aoun, alikutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake nchini Marekani, Donald Trump, mapema wiki hii. Ziara ya Rais Aoun...

WAFCON 2026: Nini hatima ya makocha wanawake?

CAIRO, Misri FAINALI za mwaka huu Mataifa Afrika kwa timu za soka za Taifa za Wanawake (WAFCON 2026) zitaanza kutimua vumbi Julai 26, 2026. Timu 16...

Vijana na tatizo la ajira duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini TATIZO la ajira kwa vijana limeendelea kuzalisha maandamano katika nchi mbalimbali duniani, safari hii India ikichukua nafasi. Hamasa ya vijana wa Chama...

Nyota zao zimewaka kupitia Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza KABLA ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026), hawakuwa na majina makubwa, lakini sasa wanawindwa na klabu kubwa...

Meneja wa muziki ataka kujiua

LAGOS, Nigeria MENEJA maarufu wa wasanii wa muziki nchini Nigeria, Ubi Franklin, amefichua kuwa aliwahi kukaribia kujiua kwa kujirusha darajani jijini Lagos. Franklin ameanika hayo kupitia...

Chelsea yashusha kiungo, asaini minne

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imetangaza usajili wa kiungo kutoka Wigan Athletic, Harrison Bettoni, ambaye amesaini mkataba wa miaka minne. Bettoni (18), alikuwa mchezaji muhimu katika...

Nyota mpya Arsenal apewa jezi yake

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI mpya wa Arsenal, Christos Tzolis, amekabidhiwa jezi namba 17 kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL) na michuano...

Man City yamfungia kazi Mbaye

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City inakazania mpango wa kumsajili mshambuliaji anayetaka kuondoka PSG, Ibrahim Mbaye. Kwa sasa, taarifa zinaeleza kuwa Man City imeanza mazungumzo na...