ISLAMABAD, Pakistan
POLISI nchini Pakistan wanamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumtesa mkewe, ikiwamo kumpiga na kumfungia kwenye chumba maalum, akifanya hivyo kwa miaka 12...
KYIV, Ukraine
SHAMBULIZI la anga la Ukraine limesababisa sehemu kubwa ya eneo linaloshikiliwa na Urusi nchini humo kukosa huduma ya umeme.
Kwa mujibu wa taarifa, shambulizi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LICHA ya kuonekana ungekuwa mchezo mgumu, Azam FC imekubali kichapo kizito cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga, ambayo sasa imejishindilia kileleni...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
ACHANA na kuzihitaji pointi tatu. Yanga wataivaa Azam wakiwa na hasira baada ya matajiri hao wa Chamazi kuwafunga katika mchezo wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KOCHA wa Simba, Steve Barker, amesema vijana wake wamejiandaa kimwili na kisaikolojia kukabiliana na Mtibwa Sugar.
Simba wako mkoani Morogoro kwa ajili...
JERUSALEM, Palestina
KATIKATI ya maisha magumu wanayopitia raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, burudani ya fainali za Kombe la Dunia imepenya na kupata nafasi...
HOUSTON, Marekani
AMEKASIRIKA! Baada ya kupondwa kwa kiwango alichokionesha katika mchezo wa kwanza dhidi ya DRC, straika wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno,...
LONDON, Uingereza
KLABU za Arsenal na Manchester United zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, ambaye ana thamani ya Pauni...
ISLAMABAD, Pakistan
MWANAHARAKATI wa haki za binadamu nchini Pakistan, Mahrang Baloch, amehukumiwa kifungo cha maisha.
Baloch ameangukiwa na hukumu hiyo katika mashitaka ya ugaidi na kusababisha...